Jamani vizazi kama hivi africa vimepotelea wapi?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,314
13,278
Naomba tukumbushane wachezaji wa timu ya naigeria ya miaka 1998,ambayo ilikuwa inatupa raha wa afrika,na wazungu walikuwa wakiumiza kichwa wanapokutana nayo.Ila kwa kizazi hiki sijui kimekuwaje,miaka ile ukitaja NIGERIA,CAMEROON,BAFANA BAFANA!mtu anakutajia kuanzia namba moja hadi wachezaji wa akiba!mfano PETER RUFAI,CELESTINE BABAYARO,UCHE OKECHUKU,MOBI OPARAKU,TARIBO WEST,GARBA LAWAL,FINIDI GEORGE,MUTIU ADEPOJU,SUNDAY OLISE,JAY JAY OKOCHA,WILISON OLUMA,DANIELI AMOKACHI,VICTOR IKIPEBA,NWANKO KANU,RASHEED YEKINI,ndio maana siku hizi wazungu wanatuonea sana,hatuna mtetezi,WITO wangu TAIFA STARS TUOKOENI NA AIBU HII JAMANI,
icon6.png
icon14.png
 
Wakati ule hazikuwepo chips sasa siku hizi zipo kila mmoja anakula chips na mayai ya kichina,unabaki unajiuliza fulani anaenda gym kila siku na bado hauoni kifundo cha mguu,hauoni mashuti,hauoni chenga,hauno gamba,hauoni vichwa yaani unabaki unajiuliza sijuhi wamelogwa na nani?..cha ajabu ndo kwanza wanadumaa vinakuwa vifupi kama pygamies
 
Siku hizi hata uwezo wa kula umepungua, sio kama zamani, zamani mtu mmoja anaweza kumla nusu mbuzi meee kama si mbuzi mzima. Ugali kilo tatu hadi tano. Ndo maana watu walikuwa na nguvu. Shuti ikipigwa kutoka Dar inadwakwa Moro.... mpira ukipigwa juu unasubiri wiki moja hadi urudi chini.... Watu walikuwa na nguvu bana.
Lakini siku hizi.... sio kosa la wachezaji. Ni mabaliko mazima ya mazingira.
 
Siku hizi hata uwezo wa kula umepungua, sio kama zamani, zamani mtu mmoja anaweza kumla nusu mbuzi meee kama si mbuzi mzima. Ugali kilo tatu hadi tano. Ndo maana watu walikuwa na nguvu. Shuti ikipigwa kutoka Dar inadwakwa Moro.... mpira ukipigwa juu unasubiri wiki moja hadi urudi chini.... Watu walikuwa na nguvu bana.<br />
Lakini siku hizi.... sio kosa la wachezaji. Ni mabaliko mazima ya mazingira.
<br />
<br />
Mkuu umefanya nilogin kukwambia umenichekesha.
 
babangida, roger miller, makanaki, rigobet song

Mipango si matumizi
 
Wachezaji wetu Bongo wanacheza mpira wa kipaji pekee bila mbinu za kisasa tangu wangali wadogo. Matokeo ni wazi "mbwa mzee hafundishiki" wengi wao wanaonyesha kuwa na vipaji lakini hawakulelewa kisoka tangu udogo wao. Mipango zaidi hasa ya kuwa na soccer academy (za kutosha) inahitajika. Vinginevyo tutaendelea kulaumu timu yetu ya taifa wakati tayari wanakutana na profnl coach wakiwa wamekomaa ugoko na viungo vya mwili vimekoma kuchanua isipokuwa sehemu nyeti ndo zinachanua na kusinyaa... Loh! Simo!
 
Back
Top Bottom