Mafuta yanadhihirisha nchi hii inaendeshwa na wafanyabiashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuta yanadhihirisha nchi hii inaendeshwa na wafanyabiashara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Aine, Aug 15, 2011.

 1. A

  Aine JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nimeamini nchi hii inaendeshwa na wafanyabiashara,yaani ndani ya wiki moja Serikali imetangaza punguzo la bei ya mafuta, baada ya wafanyabiashara kugoma kuuza kwa bei iliyotangazwa na serikali, serikali hiyo hiyo inaongeza bei ya mafuta ili kuwaridhisha wafanyabiashara wakati wananchi wakishika mashavu kwa kukata tamaa ya maisha!!!!!!!!!!!!

  Au wana JF mnalionaje hili?
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ndio matokeo ya kupata sponsorship za uchaguzi.
  Hawa wafanya biashara wanawapatia hawa watu pesa za kugombea ubunge ili watetee maslahi yao.
  Unategemea nini?
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Na kama tunavyosikia baadhi ya vigogo wa serikali ni wamiliki wa vituo hivyo kwa kutumia marafiki na watoto wao.
  Hawa ni mabepari hawawezi kumjali mwananchi wa kawaida , wao ni kutengeneza faida kubwa kila inapowezekana na kwa kutumia mbinu yoyote.
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Msafara wa mkuu wa kaya mara nyingi huambatana na wafanyabiashara,kisingizio cha safari zisizokwisha ni kutafuta wafanyabiashara(wawekezaji) jk anawapenda mno wafanyabiashara kwa hiyo sishangai nchi ikiendeshwa kama gulio.
   
 5. A

  Aine JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Lakini ipo siku wataaibika wote hao, a day is coming soon! kweli mafuta ya taa shilingi 2000... jamani huko vijijini vibatari vyote vitakuwa haviwashwi tena au vinawashwa wakati wa kulala tuu kuangalia kama kitanda kina usalama then wanazima! wakati kuna watu umeme kwao haukatiki full time na ukikatika ndani ya dk moja jenerata linaunguruma, jamani! Mungu yupo
   
 6. A

  Aine JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Na serikali kila siku inaimba wimbo hakuna hela ila hela za msafara na wafanyabiashara zipo!!!
   
 7. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Amani Amani Amani Amani huo Ndio wimbo wa Magamba, Huku watanzania wakiendelea Kuimbiwa wimbo wa Amani unaowambembeleza kulala fofofo mkiamka na kulia mnaimbiwa tena na kulala. Nyie laleni wenzuni wanamaliza rasilimali zenu na siku mkija kuamka Rasilimali zote zimekwisha sijui mtamlaumu nani badaya ya kuchukuwa hatua mapema.

  Tuimbeni Wimbo wa Magamba Unaitwa Tutailinda Amani kwa Gharama yoyote
  Imbeni Watanzania wimbo wa Magamba: Amani Amani Amani Amani Tunaipenda Amani oooooo Amani Amani Amani Amani Sisi Watanzania ni watu wa Amani oooooo Amani Bora tushinde na Njaa na bei ya bidhaa kupanda kuliko kuikosa Amani Amani oooo Amani, Bora Tumaliziwe rasilimali zetu na iuzwe Ardhi yetu lakini Amani yetu iwepooooo Amani Amani Amani Amani Jamani Amani ni kitu kizuri kuliko Kifooooo, Amani Amani Amani Amani bora ninyan'gwe haki yangu kuliko kupoteza Amani Amani Amani Amani Bora niuliwe kuliko kupoteza Amani Amani Amani Amani. Imbeni waJF waimbo wa Magamba huo
   
 8. O

  Ochutz JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Either siasa imevamiwa na wafanyabiashara or wanasiasa wamevamia biashara. Kama tunataka aya mambo yaishe,tulikomeshe hili kwanza. Ni marufuku mfanyabiashara kuingia kwenye siasa,au mwanasiasa kuingia kwenye biashara hadi hapo tutakapotunga sheria ya kutenganisha ivo vitu viwili.
   
 9. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Biashara na siasa ni vitu viwili tofauti.

  Kila siku penye ukweli uongo unajitenga. Thats reality kuhusu bei ya mafuta kupanda. hapaitaji siasa kupooza wananchi
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,352
  Trophy Points: 280
  wana siasa wote wa ccm wamenunuliwa na wafanyabiashara wa kiasia kwa namna moja au nyingine
   
 11. A

  Aine JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wazo zuri ila kwa Tz utekelezaji wake!!! sijui kama inawezekana coz wanasiasa karibu wote ni wafanyabiashara
   
Loading...