Ikulu ndogo Arusha sehemu za kuelekea mahakama kuu yang'olewa mabati na wezi

Adaha

Member
Jan 28, 2011
40
11
Nikiwa maeneo ya Sekei nimesikia risasi zikirindima sehemu za ikulu ndogo.
Baada ya kuulizia nikaambiwa kuwa kuna vijana walitokea kwenye vichaka vya mtoni wakapanda juu ya paa la ikulu bila polisi kujua na kung'oa mabati kadhaa. Polisi walipogundua walianza kurusha risasi na kujeruhi moja ambaye amepelekwa kituo cha polisi.
Naendelea kufuatilia.
 
Hilo sishangai hata kidogo! Ikulu ya Arusha haijawahi kutumika tangu JK aingie madarakani! Kila alipokuja Arusha alikwenda kulala Ngurdoto. Huko chumba chake tu ni $2000 kwa siku achilia mbali wasaidizi wake. Ikulu imebaki kama jumba la makumbusho. Thanx God hajafika tena Arusha tangu ccm imekuwa chama cha upinzani!
 
Wacha wachukue ni maliyao make kodizao znaenda bure bigup vibaka!chukua chako mapeeema
 
Back
Top Bottom