Mwongozo jamani! WanaJF ni kwanini haya yanatokea ingali ghorofani wa2 wamo???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwongozo jamani! WanaJF ni kwanini haya yanatokea ingali ghorofani wa2 wamo????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, Aug 15, 2011.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  WanaJF! Mi hii inaniboa sana! Unakuta THREAD tatu imeripoti mwongozo ya aina moja zaidi ya mara 3,kw mfano mambo ya Ewura na Serikali yake ina nyingine kama hiyo unakuta ipo humu jamvini na kibao thread,je? Ina maana wa2 ni wavivu wa kuperuz kabla ya kupost? Ama ndiyo 2sema kila m2 anataka yenye ndiyo awe hivyo. Mi nafsi yangu inaniboa sana! Nawakilisha kwa WanaJf!
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mwongozo jamani!
   
 3. Pawaga

  Pawaga JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 684
  Trophy Points: 280
  edit heading iwe mwongozo na si mwongo au?
   
Loading...