Maisha ya Tanzania vs Maisha ya Ulaya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maisha ya Tanzania vs Maisha ya Ulaya.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Aug 15, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,330
  Likes Received: 22,173
  Trophy Points: 280
  Jamani sina elimi ya juu sana lakini nina miradi inayonifanya niishi mjini. Je nikienda ughaibuni nitaboresha maisha na kipato changu au nitayaangamiza? Wenye uzoefu naombeni msaada wenu.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Unaweza ukayaboresha au unaweza ukayadunisha. Haya yote yatategemea na malengo yako uliyojiwekea, nidhamu uliyonayo katika kuyatimiza, na jitihada ulizonazo.

  Kwa ujumla kiwango cha maisha cha Ulaya kiko juu sana ukilinganisha na Tanzania kwa husasan na Afrika kwa ujumla. Ila mimi ningekushauri, kama inawezekana, uende Marekani. Ukishindwa kwenda Marekani basi jaribu hata Kanada. Ukiwa Kanada basi ni kama vile uko Marekani ingawa bado si sawa na kuwa Marekani.

  Nenda Marekani kwa sababu gharama za maisha huko si kubwa kama zilivyo za Ulaya magharibi. Na hata bei za vitu mbalimbali Marekani ni nafuu zaidi kuliko Ulaya.
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  usijaribu......
  nenda katembeee tu urudi....
   
Loading...