Migao hii, migao hii jamaniiiii!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Migao hii, migao hii jamaniiiii!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Baba V, Aug 15, 2011.

 1. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mlianza na mgao wa maji tukakubali,ukafuata wa umeme tumekaa kimya,mmeleta wa mafuta tunaumia, chondechonde msilete mgawo wa bia, hapo hatutaelewana coz hizo ndo zinazo tusaidia kuduwaza akili zetu tuone kila kitu ni sawa, tukizikosa cjui kama tutaendelea kuwa wavumilivu!!!!!!!
  NAWASILISHA
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,228
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Mbona hujataja mgao wa sukari?
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Umenikumbusha, lakini si unajua ni rahisi zaidi kukumbuka lile linalokugusa sana, mwenzio chai na mimi mbalimbali
   
Loading...