Kwanini malipo ya DSTV ni kwa $(US Dollar) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini malipo ya DSTV ni kwa $(US Dollar)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Maengo, Aug 15, 2011.

 1. M

  Maengo JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimejaribu kujiuliza kwanini malipo ya kituo cha matangazo ya television cha DSTV yanafanywa kwa dollar! Ina maana hata wao(dstv) wanalipa kodi kwa USD? Kwa kifupi ni kwamba hawa jamaa bei zao zinapanda kwa kila dakika ipitayo! Pamoja na kwamba dollar huwa inashuka lakini kushuka kwake huwa ni kidogo sana ukilinganisha na jinsi inavyopanda! Hivi haiwezekani haya malipo yakafanywa kwa TZS?<br />
  <br />
  <br />
  nawasilisha....!
   
 2. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hata mimi naamini hiki ni kitu kibaya sana katika uchumi...Nchi walau kidogo nilizotembelea, sijaona hata moja ambapo wanatumia currency zaidi ya moja...Hata Kenya ni wakali katika hili....

  Huu ni ulegelege mwingine na si kwa hawa DSTV tu bali mashirika mengi sana yanatunyanyasa kwa kutumia pesa za kigeni...Jaribu kwenda kwenye mashirika ya ndege utaona mwenyewe!!

  Ila kama tungekuwa na serikali imara (siyo legelege au rojo rojo), hili ni suala rahisi sana kwani linahitaji kuwa wakali katika kutekeleza sheria zetu!!
   
 3. Wayne

  Wayne JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 663
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Issue hapa siyo malipo ya USD au TZS , ni suala la kuruhusu makampuni mengine mengi credible yashiriki katika hii biashara.

  Kwa kipindi kirefu hawa jamaa wamekuwa kama wana exclusive rights.
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,533
  Trophy Points: 280
  u
  Malipo yanafanywa kwa TZS ila wana page kwa viwango vya US $. Sio DSTV peke yao, huduma zote zitokazo nje ya nchi ikiwemo mafuta, zinatozwa bei kwa viwango vya US $. Kama utalazimishwa kutoa US $ badala ya TZS then ni makosa kisheria.
   
 5. jcb

  jcb JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2011
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 281
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu kama mashirika yetu wenyewe yanatutoza dola itakuwaje kwa wageni wanao tupa huduma?
  Siyo kwamba na wa support Dstv kututoza kwa dollar, ila na jaribu kuzingatia mfano mmoja wa Mamlaka ya Bandari (TPA) wanatoza kwa Dollar huduma zao wageni wataachaje kututoza kwa Dollar?
   
 6. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  pia hata pale blue pearl hotel nao wanatoza kwa usd
   
Loading...