Re:msaada wa kupata kazi tpsc au nyerere memorial academy (part/full-time) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re:msaada wa kupata kazi tpsc au nyerere memorial academy (part/full-time)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by HR CONSULTANT, Aug 13, 2011.

 1. H

  HR CONSULTANT Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  WADA WANGU NAOMBA SANA MSAADA WENU NIWEZE KUPATA NAFASI YA KUFUNDISHIA(PART-TIME AU PART-T IME) KAMA MKUNFUZI MSAIDIZI (TUTORIAL ASSISTANT) KATIKA VYUO VYA TANZANIA PUBLIC SERVICE COLLAGE(TPSC),MWLM NYERERE MEMORIAL ACADEMY,AU CHUO CHOCHOTE KINGINE CHA ELIMU YA JUU NITAKAPOWEZA KUPATA UZOEFU ZAIDI WA KUFUNDISHA.
  SIFA ZANGU
  ELIMU YANGU NI BACHELOR OF PUBLIC ADMINISTRATION(MZUMBE UNIVERSITY)
  UZOEFU WA MIKA MIWILI KAMA TRAINER WA KUJITEGEMEA (FREELANCER) WA MASOMO YA PUBLIC ADMINISTRATUION,GENERAL MANAGEMENT,HUMAN RESOURCES MANAGEMENT,RECORDS MANAGEMENT ,HUMAN RESOURCES (GENDER PERSPECTIVE ),DEVELOPMENT STUDIES NA PUBLIC POLICY
  NA UZOEFU WA MIAKA MIWILI KAMA MANAGING DIRECTOR WA HUMAN RESOURCES CONSULTING FIRM
  NINAUZOEFU WA MIAKA MIWILI KAMA MTAFITI MSAIDIZI (RESEARCH ASSISTANT) NA MSAHURI (CONSULTANT).
  NIKO TAYARI KUFUNDISHA MKOA WOWOTE ULE.
  NAOMBA SANA MSAADA WENU WADAU.
  E-MAIL kulwamaziku@gmail.com
   
 2. H

  HR CONSULTANT Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naombeni sana msaada wenu sana wadau katika hili!nimekwama kabisa!
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Mimi nitakusaidia nikiona vyeti vyako, lakini umejaribu kwenda kwenye hivyo vyuo?
   
 4. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,333
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  kWANINI UNAPENDA KAZI ZA KUFUNDISHA TU?? KWASASA NI JOBLESS AU UNAENDELEA NA KAZI YA RESEARCH ASSISTANT AND CONSULTANT?
  NASHAURI UTEMBELEE MANUALLY VYUO HIVYO NA VINGINE. PIA TEMBELEA REPOA WEBSITE UANDIKE RESEARCH PAPER FOR GRANT SEEKING UPATE PESA YA UTAFITI MAANA UMESEMA UNAUZOEFU WA KUWA RESEARCH ASSISTANT.
   
 5. H

  HR CONSULTANT Member

  #5
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  niambie mkubwa nikutumieje hivyo vyeti,nitashukuru sana kwa msaada wako,nieenda sana kwenye vyuo hivyo bila mafanikio
   
 6. H

  HR CONSULTANT Member

  #6
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ahasante mdau nimepata mawazo yako.
   
 7. H

  HR CONSULTANT Member

  #7
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wadau wangu naendelea kuomba msaada wenu wa hali na mali wowote wenye connections na training industry hasa vyuo mbalimbali.
   
 8. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,988
  Likes Received: 20,391
  Trophy Points: 280
  Kwani GPA yako umesimama vipi mkuu, uzoefu sawa lakini vyuo hivi ni vya umma na viko chini ya NACTE na kama GPA yako ni chini ya 3.8 nadhani utakuwa na kazi kubwa kuwashawishi wakupatie hizo kazi, hata hivyo mtumie mdau Nduka kama alivyoshauri
   
 9. H

  HR CONSULTANT Member

  #9
  Aug 15, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mdau sifa zote ninazo
   
Loading...