Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Uvamizi wa mataifa ya Ulaya na Marekan unaoendelea dhidi ya Mtaifa huru ya Africa. Walipokuja na ajenda ya kutufundisha “utu”. Wakaja na divai ya ‘ustaarabu’ ndani ya kiriba cha utumwa/ukoloni. Na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Alikuwa akitokea msoga kula sikukuu ambapo dereva tax mmoja aliingilia msafara, kilichosaidia ni utulivu wa dereva tax huyo kutulia upande wa kulia kwake na gari zilipita salama, Dereva tax huyo...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Jamani nimesikiliza kipindi cha jahazi leo kibonde akijadili kifo cha mwandishi mmoja wa habari huko mwanza aliyeuawa kikatili mr Masatu. Kilichonishangaza ni ushauri alioutoa kwa watanzania...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nianze kwenda kwa nani? Leo nimepata simu, Huko kwangu ofisini, Zote tena taslimu, Zimefika mikononi, Na zote hizo muhimu, Nimezisoma yakini, Nianze kwenda kwa nani, washairi nambieni. 2. Simu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Suala la nani mmiliki wa kampuni la kagoda sasa limewekwa wazi,baada ya mwanaharakati mmoja kuweka wazi kuwa rostam aziz na yusufu manji pamoja na binamu zake r.a.sasa ni wakati wa serikali...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama umesoma gazeti la Rai la Juzi tarehe 1/08/2011, ukabahatika kusoma Makala inayohusu Eneo la Ramsar la bonde la kilombero utaona ni jinsi gani watanzania wanaweza kujali masuala Rahisi kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Namkumbuka 'Uncle Tom' alishirikiana kina McGhee, na wanajeshi kadhaa kutaka kumpindua Nyerere enzi hizo. Kama kuna walioshiriki na wako hai, basi watujuze kash-kash zilivyokuwa.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam, Natumaini wana jamii ni wazima wa afya,kwangu mimi ni mzima na buheri wa afya. Eti huo usemi hapo juu ni wakweli? Kama nikweli inamana wanawateja wengi kuliko kampuni za simu zote hapa...
0 Reactions
16 Replies
10K Views
yule mkulu wa BOT wa sh bil 21 amekamatwa gerezani akiwa na simu nokia ya tochi akiwasiliana na kigogo kuomba amfanyie mpango wa kutoka gerezani na hivyo kafikishwa jana kituo cha polisi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kweli fedha fedheha, Katika hali ya kusikitisha na kuogofya, uhai wa mtanzania unachezewa kwa pesa za kifisadi za DG wa PPF Bwana Erio William Mkapa. Ijumaa ya tarehe 26 August, gari la PPF...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
It hurts!!!!! Most 'First Class' students get technical seats, some become Doctors and some Engineers. * The 'Second Class' passes, and then pass MBA, become Administrators, Directors and...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomba mnisaidie kujua tofauti ya haya mashirika mawili kwa maana ya ubora na faida kwa mwanachama. Nahitaji kuwa member katika moja ya haya mashirika na sijapata details zao!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale waliosoma IFM miaka ya kuanzia 2000 watakuwa wanamfahamu sana mr credo celestine, ameaga dunia ghafla baada ya kupanda pressure na kuanguka, alipofikishwa hospitali muhimbili madaktari...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
CCM haifai kuongoza nchi. Wanatakiwa watolewe madarakani na Wananchi kwa Maandamano ya Amani. Aljazeera inakuja-itasaidia ktk kutangaza habari za Maandamano Duniani. Miaka 50 ni mingi sana. Nataka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi unakumbuka kipindi kile ukiwa bado mtoto siku za sikukuu kama vile Eid, Xmas na Pasaka ukishakula pilau yako na kuvaa nguo mpya mchana ulikuwa unaenda kutembea wapi? Wale waliokulia dar wengi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
  • Closed
Baada ya mh Rais wa Jamhuri ya Muungano kutoa speech kwenye baraza la Idd mjini dodoma kwenye msikiti wa Gaddaf. Waislam wametaharuki na kusema kamwe hawakuamini masikio yao kwa nyundo alizoshusha...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Kwema wa jf nimesikia mtaani ila sina uhakika kuwa yale mashangingi ya vigogo yananadiwa je kama ni kweli si watauziana humohumo nipeni ukweli
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Akiongea Leo katika msikiti wa Idrissa Imam mkuu ALLy Basaleh amesema hakushangaa na majibu aliyotoa Rais jakaya mrisho kikwete kwani ndio uwezo wake ulipoishia, amesema kuwa alikutana na maaskofu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kumekua na malalamiko ya makada ambao wametangulia hapa Igunga kwa maandalizi ya Kampeni kwa kulipwa posho ya Tsh 30,000 kwa siku! Hapa Igunga lodge ya bei ya Chini ni 15,000! Kumekua na majibu ya...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Nimekuwa nikijiuliza yu wapi kamanda tosi ambaye alijizolea umaarufu siku za nyuma kwa uhodari wake katika operation mbalimbali ndani ya jeshi la polisi.leo hii nimemuona kwenye taarifa ya habari...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…