Turejee Mapinduzi enzi za Nyerere | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Turejee Mapinduzi enzi za Nyerere

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by President Elect, Sep 3, 2011.

 1. President Elect

  President Elect JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Namkumbuka 'Uncle Tom' alishirikiana kina McGhee, na wanajeshi kadhaa kutaka kumpindua Nyerere enzi hizo. Kama kuna walioshiriki na wako hai, basi watujuze kash-kash zilivyokuwa.
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Watakuja wataalam wa kutungatunga story za uongo ilimradi wa-comment.
   
Loading...