Gari la DG wa PPF laua mtu Morogoro, ahonga, na kuondoka kwenda Dar

mchukiaufisadi

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
546
193
Kweli fedha fedheha,

Katika hali ya kusikitisha na kuogofya, uhai wa mtanzania unachezewa kwa pesa za kifisadi za DG wa PPF Bwana Erio William Mkapa.

Ijumaa ya tarehe 26 August, gari la PPF litumiwalo na DG wa PPF lilimgonga mwenda kwa miguu kwa uzembe wa dereva wake. Baada ya kuua, pesa ilitembezwa kuanzia kwa trafiki mdogo, RTO mpaka RPC wa Morogoro walipata pesa nzuri sana (tshs. 10M)

Polisi wa Morogoro wamelizima hili tatizo bila wahusika kupeleka mahakamani ili sheria ifuate mkondo wake. DG ERIO kutokana na kuwa na maskendo mengi ameogopa hili soo lisiingie hadharani ili lisiongeze maskendo.

Polisi wa Morogoro walitumika kuwalainisha ndugu wa marehemu kwa kuwatisha kuwa ndugu yao ndiye mzembe amegonga gari la serikali (SU). Wanakijiji kuona ni SU wakaogopa kuendeleza suala hili na kupokea pesa za Erio.

Erio alikuwa ametoka DODOMA kuzima soo la kufukuza mameneja watatu lilikuwa liibuliwe na Kamati ya Fedha maana ameingilia ukaguzi unaofanywa na CAG kwa agizo la Kamati ya fedha na mashirika ya Umma, Kamati ya ZITTO.

Tunaomba suala hili lifuatiliwe na vyombo vya serikali ili sheria ifuate mkondo wake.

Source: Dereva, alisimulia wenzake pale PPF basement

hii habari haina ukweli!m nipo Dodoma na leo mchana saa tisa tumekula ugali hapo sehemu inaitwa Rose garden,DG wa ppf alikuwepo na V8 lake halina hata mkwaruzo!

Tukio kama limetokea leo nadhani ingekuwa ngumu kulipeleka mahakamani. Tusubiri kesho.

si upeleke kesi mahakamani kama una ushahidi wote huo

Mwita25, you're always stupid most of the the times, can't you see what is being reported is the life of your fellow citizen whose life has been terminated by magambas? BY THE WAY, IS THIS RELATED TO WILLIAM BENJAMIN MKAPA'S RELATIVE OR SON?

hii habari haina ukweli!m nipo Dodoma na leo mchana saa tisa tumekula ugali hapo sehemu inaitwa Rose garden,DG wa ppf alikuwepo na V8 lake halina hata mkwaruzo!

taarifa zinasema ajali imetokea morogoro DG akitokea dodoma. Tatizo mtoa mada hajatoa muda gani ajali imetokea

hii habari haina ukweli!m nipo Dodoma na leo mchana saa tisa tumekula ugali hapo sehemu inaitwa Rose garden,DG wa ppf alikuwepo na V8 lake halina hata mkwaruzo!

mkuu gari limemgonga mwenda kwa miguu, ulitaka gari libondeke?

Mwita25, you're always stupid most of the the times, can't you see what is being reported is the life of your fellow citizen whose has been caused by magambas? BY THE WAY, IS THIS RELATED TO WILLIAM BENJAMIN MKAPA'S RELATIVE OR SON?

He has been assigned to oppose everything including his own life

Ajali imetokea leo, wawezaje kusema kuwa Polisi wameshindwa kupeleka mahakamani au ww ulipenda hukumu itoka palepale barabarani bila hata kupima na kuhoji mashaidi na mtuhumiwa? Inawezekana unalako jambo na hao Polisi wa Morogoro.

Jamani,
Kwani ajali maana yake nini? Ajali siyo sawa na mauaji..ni tulio la bahati mbaya. Kama ni bahati mbaya, ina maana ajali inaweza kumkuta mtu yoyote.
Kama ajali imetokea kwanini tuhusishe na mambo mengine au tunadhani kwamba kwa vile JF watu wanazungumzia UFISADI basi kila kitu ni UFISADI - the "U" word now is to much.

Siimtetei huyo mnayemshutumu...najaribu kuweka mambo kwenye perspective ili kama ni kujadili basi kuwe na objectivity isionekane JF n sehemu ya umbeya, majungu na chuki.

Samahani kwa atakayekwazika na mawazo mbadala.

Kweli fedha fedheha,

Katika hali ya kusikitisha na kuogofya, uhai wa mtanzania unachezewa kwa pesa za kifisadi za DG wa PPF Bwana Erio William Mkapa.

Ijumaa ya tarehe 26 August, gari la PPF litumiwalo na DG wa PPF lilimgonga mwenda kwa miguu kwa uzembe wa dereva wake. Baada ya kuua, pesa ilitembezwa kuanzia kwa trafiki mdogo, RTO mpaka RPC wa Morogoro walipata pesa nzuri sana (tshs. 10M)

Polisi wa Morogoro wamelizima hili tatizo bila wahusika kupeleka mahakamani ili sheria ifuate mkondo wake. DG ERIO kutokana na kuwa na maskendo mengi ameogopa hili soo lisiingie hadharani ili lisiongeze maskendo.

Polisi wa Morogoro walitumika kuwalainisha ndugu wa marehemu kwa kuwatisha kuwa ndugu yao ndiye mzembe amegonga gari la serikali (SU). Wanakijiji kuona ni SU wakaogopa kuendeleza suala hili na kupokea pesa za Erio.

Erio alikuwa ametoka DODOMA kuzima soo la kufukuza mameneja watatu lilikuwa liibuliwe na Kamati ya Fedha maana ameingilia ukaguzi unaofanywa na CAG kwa agizo la Kamati ya fedha na mashirika ya Umma, Kamati ya ZITTO.

Tunaomba suala hili lifuatiliwe na vyombo vya serikali ili sheria ifuate mkondo wake.

Source: Dereva, alisimulia wenzake pale PPF basement

Nathani hautakuwa umemtendea haki huyo dereva kama hii ni habari ya ukweli.

Jamani,

Kwani ajali maana yake nini? Ajali siyo sawa na mauaji..ni tulio la bahati mbaya. Kama ni bahati mbaya, ina maana ajali inaweza kumkuta mtu yoyote.

Kama ajali imetokea kwanini tuhusishe na mambo mengine au tunadhani kwamba kwa vile JF watu wanazungumzia UFISADI basi kil akitu ni UFISADI - the U word now is to much.

Siimtetei huyo mnayemshutumu...najaribu kuweka mambo kwenye perspective ili kama ni kujadili basi kuwe na objecyivity isionekane JF n sehemu ya umbeye, majungu na chuki.

Samahani kwa atakayekwazika na mawazo mbadala.

uko sawa kabisa, inawezekana marehemu alikuwa amelewa, mtoa mada hajasema alikuwa katika hali gani. Leo ni weekend msisahau

Kweli wewe ni parachichi, tena BOVU. ukiona nyuzi popote usikurupuke kuandika au kujibu upupu bila kuisoma vizuri. Umeandikiwa hadi tarehe ya tukio unataka kuleta ubushi wa parachichi bichi.

Mmeambiwa Ijumaa ya tarehe 26 August. Alitoka Dodoma kuwaziba mdomo asisurubiwe. Umeambiwa SOURCE ni dereva aliwasimulia wenzake PPF basement. Ingekuwa ni leo angewezaje kuwasimulia akiwa PPF basement na wakati huohuo yuko Dodoma. Leo yupo Dodoma kwa sababu PPF ipo Wizara ya Fedha, na bajeti ndiyo ilikuwa mjengoni.

hii habari haina ukweli!m nipo Dodoma na leo mchana saa tisa tumekula ugali hapo sehemu inaitwa Rose garden,DG wa ppf alikuwepo na V8 lake halina hata mkwaruzo!

Ajali tarehe 25 August, seven days has gone. Nasi tulisubiri.

Back
Top Bottom