KIBONDE: waandishi wa habari kama habari inaelekea kuhatarisha maisha yako achana nay

matawi

JF-Expert Member
Mar 29, 2010
2,052
242
Jamani nimesikiliza kipindi cha jahazi leo kibonde akijadili kifo cha mwandishi mmoja wa habari huko mwanza aliyeuawa kikatili mr Masatu.

Kilichonishangaza ni ushauri alioutoa kwa watanzania na wanahabari kwamba kama habari inahatarisha maisha aachane nayo.

Jamani hii imekaaje?

wewe uliwazaje uliposikia mpaka ukaamua kuandika hii post?

Ametumwa na mabwana zake mafisadi kuwatisha watu wa sampuli ya MSEMAKWELI!!

sio kwamba alikariri kauli ya martin luther king kuwa kama kuna jambo unalopaswa kufa nalo kwa maslahi ya wengi afu ukaogopa basi hustahili kuishi?? nadhani aliwaasa waandishi wasife moyo na akasema walimtoboa mcho ili kuwafanya vipofu,walimtoboa ulimi ili kuwazuia wasisema na wakamvunja mguu ili kuwafanya waandishi wasitembee kutafuta habari,nadhani hakuwa na nia mbaya alisema waandishi wasife moyo wachape kazi na akasema linganisha maisha yako ww kama yanathamani na jambo utakalofia kwa maslahi ya taifa, ndio hivo nlimwelewa na sio namtetea kibonde nlibahatika tu kusikiza hii radio na sio radio yangu niipendayo.

Jamani nimesikiliza kipindi cha jahazi leo kibonde akijadili kifo cha mwandishi mmoja wa habari huko mwanza aliyeuawa kikatili mr Masatu.

Kilichonishangaza ni ushauri alioutoa kwa watanzania na wanahabari kwamba kama habari inahatarisha maisha aachane nayo.

Jamani hii imekaaje?

kwani Kibonde mwandishi wa habari!!!??? He is just a shameless big mouth.

Back
Top Bottom