Amatus Liyumba akamatwa na simu gerezani

peacebm

Member
Joined
Jan 31, 2010
Messages
57
Points
0

peacebm

Member
Joined Jan 31, 2010
57 0
yule mkulu wa BOT wa sh bil 21 amekamatwa gerezani akiwa na simu nokia ya tochi akiwasiliana na kigogo kuomba amfanyie mpango wa kutoka gerezani na hivyo kafikishwa jana kituo cha polisi Sitakishari Ukonga
source Wapo Radio Patapata
 

Fidelis big

Senior Member
Joined
Aug 31, 2011
Messages
114
Points
170

Fidelis big

Senior Member
Joined Aug 31, 2011
114 170
yule mkulu wa BOT wa sh bil 21 amekamatwa gerezani akiwa na simu nokia ya tochi akiwasiliana na kigogo kuomba amfanyie mpango wa kutoka gerezani na hivyo kafikishwa jana kituo cha polisi Sitakishari Ukonga<br />
source Wapo Radio Patapata
<br />
<br Huyu anastahili awekwe pc(atengwe kwenye chumba mahalumu kwa uangalizi zaidi) anataka atoke akafanye nini uraiani? Embu atulie huko awasubiri wakina rostam.
 

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
31,890
Points
2,000

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
31,890 2,000
Mfungwa kukamatwa na simu anapelekwa Polisi? hivyo ni vitu vilivyopigwa marufuku mfungwa kuwa navyo kama sigara ,bangi,kisu redio nk. na kila kukicha wafungwa wanakamatwa navyo na kupewa adhabu za kigereza.
sasa iweje Lyumba akamatwe na simu gerezani kisha akahojiwe Polisi? KUNA JAMBO JINGINE ZAIDI YA HILO.
 

Jethro

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Messages
2,223
Points
1,225

Jethro

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2009
2,223 1,225
Wana JF,

Nasikia pia Rais wetu yuko kwenye list ya watu waliokuwa wakipigiwa??? If so the Case Rais kashindwa kuitunza na kuitetea katiba ya nchi.

Kama mtu anaongea na simu au kuwa na simu kwa gereza anatakiwa kuwe na issue kubwa sana au akaongelee yale masimu ya kizamani huku nao gerezani wanasikia munacho kiongea.

My Take:


Nchi hii mumeifanya kama shamba la bibi kila kukicha ni viloja na vitimbi full full esp kwa hawa viongozi wetu wa juu kwa kukiuka katba ya jamuhuri ya muungano kwa ajiri ya interest zao wenyewe
 

Forum statistics

Threads 1,353,878
Members 518,416
Posts 33,083,643
Top