Kadhi:Kikwete na COPY and PASTE. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kadhi:Kikwete na COPY and PASTE.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mzee wa mawe, Sep 2, 2011.

 1. m

  mzee wa mawe Senior Member

  #1
  Sep 2, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akiongea Leo katika msikiti wa Idrissa Imam mkuu ALLy Basaleh amesema hakushangaa na majibu aliyotoa Rais jakaya mrisho kikwete kwani ndio uwezo wake ulipoishia, amesema kuwa alikutana na maaskofu na walimwambia kuwa suala la waislam kuwa na kadhi ni jambo zuri la ni bora suala hilo liendeshwe na waislam wenyewe na kwa gharama zao wenyewe, na hata mwenyekiti wa kurekebisha sheria Prof Ibrahim Juma amesema kuwa ni bora suala hilo lisimamiwe na waislam wenyewe, na serikali imekubaliana haitahusika katika masuala ya kadhi waanzishe na waihudumie wenyewe, je? mh Rais alishindwa kwenda viongozi wa waislam, je? waislam wanaposema nchi hii inaongozwa na MFUMO KRISTO wanakosea?
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Sijaelewa unataka kusema nini!
  Whats wrong wit you people?
   
 3. P

  Paul S.S Verified User

  #3
  Sep 2, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Heading ya sredi yako na maudhui ya sredi yako vinaonyesha umekurupuka na haujui unalotaka kusema wala kulijengea hoja hapa,
  Jipange urudi tena na hoja iliyo shiba mkuu
   
 4. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Uchaguzi umekwisha na Kikwete hatagombea tena kwahiyo hahitaji sana kuungwa mkono na waislamu kama ilivyokuwa kabla ya uchaguzi mkuu 2010.

  Waislamu wafungue macho yao vizuri, hii ccm inawatumia tu kwa maslahi ya kisiasa, haina nia hata kidogo ya kutatua tatizo la mahakama ya kadhi. Ile dhambi ya udini aliyoianzisha JK na kuwaaminisha waislamu kwamba chadema ni anti islam sasa imewarudi.
   
 5. J

  Juma. W Senior Member

  #5
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  <br />
  <br />
  JK is right. Wakristo nao wana mahakama za kikwao ambazo hutumika kusuluhisha masuala mbalimbali hasa ya ndoa. Mifumo hii ya usuluhishi huendeshwa na kusimamiwa na madhehebu husika.
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hata mimi kwenye familia yangu kuna mahakama .....na mimi ndiye pilato mtoa hukumu
   
 7. B

  BABA KEREN Member

  #7
  Sep 2, 2011
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Ulitegemea Kikwete kama Mgombea aliyekuwa anataka Kura angefanya nini ?, ni mengi ameahidi ambayo mpaka sasa yanawasulubu Mawaziri wake katika sehemu Mbalimbali,so ni jambo la kawaida katika Game ya kutaka kuingia Ikulu ya TZ kupitia Magamba! Nini Mahakama ya Kadhi kwake!, je Maisha Bora hamlioni ? Au ndo Ndugu zangu mnaama sasa hivi juu ya Proganda za Magamba! Basaleh anajua nini kinaendelea thats'y anajifanya kutetea waislam sasa hivi. Basaleh kama umefikia hatua ya Kusimama sasa umechelewa kwa sababu ulikuwa na Mamlaka ya kumkemea Kikwete toka anaanza Awamu yake ya kwanza lakini hukufanya hivyo na umetegea sasa ili Waislamu wakuamini kuwa ni Mtetezi but wewe ni Kiongozi mwenye Heshima na baadhi yetu kama mimi naheshimu Misimamo na Itikadi zao ila kwa Hili unawadanganya Waislamu tu.
   
Loading...