Chupuchupu msafara wa Rais Leo kupata ajali Manzese

janja pwani

Senior Member
Jul 27, 2011
104
9
Alikuwa akitokea msoga kula sikukuu ambapo dereva tax mmoja aliingilia msafara, kilichosaidia ni utulivu wa dereva tax huyo kutulia upande wa kulia kwake na gari zilipita salama, Dereva tax huyo amepigwa pingu na askari wameondoka nae, hiyo ni taarifa kwa wanajf, nawasilisha.

Alienda Msoga kuchaji betri tu sio kula Eid.

Hii itasaidia sana kumfanya jamaa atilie mkazo suala la kupanua na kuboresha barabara kwani hata yeye zinamuhusu.

Inaelekea jamaa amekosa kabisa mialiko huko ughaibuni ndio maana ameopt kwenda Msoga

Tena nasikia kuna sheria kabisa ukiingilia msafara wa raisi na kifungo chake!
Namwonea huruma uyo dreva wa taxi usikute hakukusudia ila watamharass sana kama kaua!

Alienda Msoga kuchaji betri tu sio kula Eid.

Hii itasaidia sana kumfanya jamaa atilie mkazo suala la kupanua na kuboresha barabara kwani hata yeye zinamuhusu.

Inaelekea jamaa amekosa kabisa mialiko huko ughaibuni ndio maana ameopt kwenda Msoga

Hivi huwa anaalikwa au anajialika?

Alikuwa akitokea msoga kula sikukuu ambapo dereva tax mmoja aliingilia msafara, kilichosaidia ni utulivu wa dereva tax huyo kutulia upande wa kulia kwake na gari zilipita salama, Dereva tax huyo amepigwa pingu na askari wameondoka nae, hiyo ni taarifa kwa wanajf, nawasilisha.

Jaribu kufafanua kwanini aliingilia msafara wa rais na vipi. Kama kulikua na alama za wazi za kuonyesha kua huo ni msafara wa rais na alalma za kuonyesha kua haitakiwa kuingiliwa atakua na kosa. Adhabu yake bado itategemea atajitetea vipi na vipi ataweza kuzitetea hoja zake. Inaweza ikawa kitu serious au kitu cha kawaida.

Damned if you do, Damned if you don't.

Akiwepo nchini kosa asiwepo nchini kosa. Hasad zenu zitawarudia wenyewe, mtabaki hivyo hivyo hamna raha maisha yenu yote kwa roho zenu mbaya tu ndio zinazowakosesha raha. Hata mteremshiwe Rais kwa uzi wa buibui bado hamtaridhika nae.

Au kawashika pazuri?

Namwomba Mungu siku zote azidi kuniongezea uhuru kamili wa kufikiri, kutenda na kuishi kwa manufaa yangu na watu wote badala ya kuhangaikia uhuru wangu kwa manufaa ya mtu au kikundi fulani nisije haribu dhamiri yangu mbele ya haki ya Mungu.

Sasa familia ya huyo tax driver itatunzwa na ikulu wakimfunga? Wamwachie huru bana!

Damned if you do, Damned if you don't.

Akiwepo nchini kosa asiwepo nchini kosa. Hasad zenu zitawarudia wenyewe, mtabaki hivyo hivyo hamna raha maisha yenu yote kwa roho zenu mbaya tu ndio zinazowakosesha raha. Hata mteremshiwe Rais kwa uzi wa buibui bado hamtaridhika nae.

Au kawashika pazuri?

Respect mama mkulu.

Katika mazingira kama haya ya ajali kidogo angepindisha mambo ili tuwe "tunazungumza vingine"

Dada tutake radhi! Heshima kitu cha bure!

Katika mazingira kama haya ya ajali kidogo angepindisha mambo ili tuwe "tunazungumza vingine"
Mkuu ina maana ulitaka mkuu wa kaya apate ajali au? Hivi gharama za uchaguzi tutaziweza kweli au istizahi? Yangu macho lakini siombei mambo mabaya yamtokee JK bali mapenzi ya Mungu yatimie.

Back
Top Bottom