KERO Yaani nikilipa Kodi nakatwa Kodi?

KERO Yaani nikilipa Kodi nakatwa Kodi?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
photo_2026-10-13_14-08-36.jpg

Naomba kujua nimefanya malipo ya TRA kupitia simu ila nimekatwa Shilingi 400 VAT yaani nakatwa kodi kwenye kulipa kodi? AU mimi ndiyo sielewi.
 
Back
Top Bottom