Wazazi njooni mchukue watoto wenu!

Wazazi njooni mchukue watoto wenu!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,300
Reaction score
26,806
Shule ya Sekondari ya Mazinge (Mazinge Secondary School) ipo katika Mkoa wa Shinyanga, Wilaya ya Shinyanga Mjini (Shinyanga MC), kwenye Kata ya Ndembezi.

Ni shule ya serikali ya mchanganyiko (wavulana na wasichana) kwa ngazi ya Kidato cha Kwanza hadi cha Nne (O-Level) yenye namba ya usajili S3415.

Wanafunzi wake ndio kama hivyo , mauno kama yote, wazazi wapo wanauza mchicha na dagaa kusomesha wakata mauno

View attachment 3676164
We unaleta Tu taharuki, sioni cha ajabu hapo
 
Hamna cha ajabu hapo ,kwa mwanamke ni kawaida sana kucheza , hucheza mitindo mbali mbali .
Huyu mwanafunzi hajavuka mipaka .
Kabisa nacheza kikawaida kabisa kama Msichana wa kike na amevaa vizuri wala hajashikana mikono na mtu, kwangu Mimi sioni kosa kabisa, na ninaonekana ni siku ya sherehe
 
Mauno yapo wapi hapa ? Mbona zama zetu walikua wanacheza rede kuona chupi ni nnje nnje?
 
Kama hii ni ajbu basi funga shule zote za serikali kipindi hiki kuelekea graduation wengi wanafanya hayo
(Hivi Yale ma school bash ya zamani watu walikuwa Wanachezaje)
 
Back
Top Bottom