Nchini Tanzania, bullying ni kitu cha kawaida?

Sister Abigail

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2020
Posts
4,500
Reaction score
14,065
Salama wakuu?

Kuna hii kitu inaitwa bullying ama Kwa lugha ya kiswahili tuite labda uonevu.hii kitu ni common sana na inachukuliwa kawaida na jamii yetu kiasi inaleta madhara lakini hatuyaoni na hata tukiyaona tunayafumbia macho na kuona ni kawaida.

Kuna bullying za aina tofauti kama

• Kimwili: Kupigwa, kusukumwa ovyo, au kuumizwa.
• Kinywa / Maneno: Kuitwa majina yasiyofaa, kutukanwa, au kutishwa.
• Kihisia na Kisaikolojia: Kutengwa, kudhalilishwa nk

Ningesema ni tatizo la hivi karibuNi lakini nikikumbuka katika ukuaji wangu na matukio naona ni kitu haakijaanza Leo na akili zetu zimeadapt kwamba ni kawaida Haina shida.
Kuanzia wanawake,wanaume,vijana,watoto na wazee.
Sio shuleni,sio vyuoni,sio ma hospital hasa za serikalini,viongozi wa serikali,viongozi wa vyama vya siasa,mbaya zaidi mtaani.

Ni kawaida kukuta watu wanatungana majina Kwa muonekano, maumbile ama changamoto,ama tukio
Unakuta mtu mweusi anaitwa cheusi Mangala,mfupi wanamuita kijeba,kidingi..
Mpaka wanaume weupe wanakuwa bullied na wanaume wenzao wakiwaona kama wanawake,mtu mrefu anaitwa ngongoti
Mtu aliezaliwa na changamoto ya miguu kupishana urefu wanamuita chiba,mtu mwenye akili ziko slow kuadapt wanamuita zezeta.mwenye kushindwa kuelewa jambo na kulifanya Kwa ufanisi anaitwa kilaza nk
Na mengine mengi sana.
imekuwa common sana.hali inayopelekea wengine kushindwa kustahimili,Kuna wanaojidhuru,Kuna wanaathirika kisaikolojia na kuwa na msongo wa mawazo,na wengine wanajichukia na kukosa kujiamini haswa Kwa watoto na ma teenager ambao bado hawajakomaa kisaikolojia na kiakili kukabiliana na mengi.

Wakati nchi za ughaibuni wamepitisha kama ni kosa kumbully mwenzio.Mfano nchini Korea ikiwa mwanafunzi atambully mwenzie basi atakuwa suspended.

Sawa najua Africa sio kwaajili ya mtu dhaifu,tuna namna yetu ya kurespond Kwa bullies aina zote,lakini ingependeza kama tulngelichukulia Kwa uzito kama lenye madhara Kwa ustawi wa watu na jamii Kwa ujumla.tunaweza kuona ni kawaida ila ni ajabu na aibu.

Juzi juzi tu hapa Kuna cashier wa supermarket kapigana na mteja baada ya mteja kudai kamuita "shangingi"

Mashindano yanaoyoendelea ya Miss grand international waTanzania wameingia kwenye shutuma za bullying Kwa kuachia comments zinazosanifu washiriki wengine,Yale wanayoandika nchi nyingine Wana translate wanasoma.imefikia wanashangaa.

Yangu ni hayo tu.
 
Unamfanyia bullying mtu ambae hakuhusika kabisa katika uumbaji wake
Hapo kosa lake liko wapi sasa 😢

Ubinadamu kazi sana
 
WaTz tunadhani ustaarabu ni kuongea taratibu na kusema shikamoo😅 Utasikia yani yule ni mpole anaongea vizuri nyenyenye!!

Kuna mambo mengi sana ya kistaarabu yametupita kando.

Millennials + GenZ parents/caregivers we can do better!
 
Sahau kabisa kama GenZ ni kizazi bora,hiki ndo kizazi cha kishenzi.

Binadamu kama hauna hekima basi hauna adabu hata kidogo
 
Salama wakuu?

Kuna hii kitu inaitwa bullying ama Kwa lugha ya kiswahili tuite labda uonevu.hii kitu ni common sana na inachukuliwa kawaida na jamii yetu kiasi inaleta madhara lakini hatuyaoni na hata tukiyaona tunayafumbia macho na kuona ni kawaida.

Kuna bullying za aina tofauti kama

• Kimwili: Kupigwa, kusukumwa ovyo, au kuumizwa.
• Kinywa / Maneno: Kuitwa majina yasiyofaa, kutukanwa, au kutishwa.
• Kihisia na Kisaikolojia: Kutengwa, kudhalilishwa nk

Ningesema ni tatizo la hivi karibuNi lakini nikikumbuka katika ukuaji wangu na matukio naona ni kitu haakijaanza Leo na akili zetu zimeadapt kwamba ni kawaida Haina shida.
Kuanzia wanawake,wanaume,vijana,watoto na wazee.
Sio shuleni,sio vyuoni,sio ma hospital hasa za serikalini,viongozi wa serikali,viongozi wa vyama vya siasa,mbaya zaidi mtaani.

Ni kawaida kukuta watu wanatungana majina Kwa muonekano, maumbile ama changamoto,ama tukio
Unakuta mtu mweusi anaitwa cheusi Mangala,mfupi wanamuita kijeba,kidingi..
Mpaka wanaume weupe wanakuwa bullied na wanaume wenzao wakiwaona kama wanawake,mtu mrefu anaitwa ngongoti
Mtu aliezaliwa na changamoto ya miguu kupishana urefu wanamuita chiba,mtu mwenye akili ziko slow kuadapt wanamuita zezeta.mwenye kushindwa kuelewa jambo na kulifanya Kwa ufanisi anaitwa kilaza nk
Na mengine mengi sana.
imekuwa common sana.hali inayopelekea wengine kushindwa kustahimili,Kuna wanaojidhuru,Kuna wanaathirika kisaikolojia na kuwa na msongo wa mawazo,na wengine wanajichukia na kukosa kujiamini haswa Kwa watoto na ma teenager ambao bado hawajakomaa kisaikolojia na kiakili kukabiliana na mengi.

Wakati nchi za ughaibuni wamepitisha kama ni kosa kumbully mwenzio.Mfano nchini Korea ikiwa mwanafunzi atambully mwenzie basi atakuwa suspended.

Sawa najua Africa sio kwaajili ya mtu dhaifu,tuna namna yetu ya kurespond Kwa bullies aina zote,lakini ingependeza kama tulngelichukulia Kwa uzito kama lenye madhara Kwa ustawi wa watu na jamii Kwa ujumla.tunaweza kuona ni kawaida ila ni ajabu na aibu.

Juzi juzi tu hapa Kuna cashier wa supermarket kapigana na mteja baada ya mteja kudai kamuita "shangingi"

Mashindano yanaoyoendelea ya Miss grand international waTanzania wameingia kwenye shutuma za bullying Kwa kuachia comments zinazosanifu washiriki wengine,Yale wanayoandika nchi nyingine Wana translate wanasoma.imefikia wanashangaa.

Yangu ni hayo tu.
"Who are you" was a bullying also.
 
Back
Top Bottom