otimbiotimbi
Senior Member
- Dec 12, 2019
- 148
- 263
Asilimia 90% ya showroom za magari wanafanya michezo ya kupunguza kilomita za magari na wabongo ndo wengi wanapigwa hapo kwa kudhani gari yenye kilomita chache ndio mpya kumbe wahuni washafanya yao....
Madalali wa magari samahani kwa kuwaharibia ugali wenu ila mmezidi kwakweli.
Kama unabisha njoo na facts🤭😂
Madalali wa magari samahani kwa kuwaharibia ugali wenu ila mmezidi kwakweli.
Kama unabisha njoo na facts🤭😂