Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

KWA MUDA SASA MAASKARI WA KITUO CHA POLISI ARUSHA (CENTRAL) CHINI YA OCD MWOMBEJI WAMEKUWA WAKICHEZA MCHEZO HUU MCHAFU NA WA KUTISHA. VICTIMS NI WENYE MAGARI BINAFSI. UTASHANGAA TU GHAFLA...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Mohamed Shein, amesema aliapa kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Jamhuri ya Muungano kwa kuheshimu Katiba na kuimarisha Muungano.Dk...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inanikera sana tunapo kuwa na wakati mwingi wa kujadili matukio zaidi, badala ya hatma yetu na vizazi vijavyo! Tumebakia mashoga mashoga sijui ushoga! hee! nyie vipi? wakati maadui wetu wakuu...
0 Reactions
46 Replies
8K Views
Gaddafi Sexually being abused by The Rebels - YouTube PAMOJA NA UASI NA UBAYA WA GADAFI JE NDUGU ZANGUNI WASILAMU ALISTAHILI KUINGIZWA KJITI MAKALION KWELI?? NAKAMA NDIO JE AMUONI KUINGIZAA UUME...
1 Reactions
67 Replies
8K Views
1. Madhehebu mwngi tanzania yako mbeya (tena kuna madhehebu ya kifamilia, ukoo nk) 2. kuchuna ngozi kumeanzia mbeya 3 kupiga nondo kadhalika mbeya 4. Wanakwaya kibao - bony, bukuku, mwaipasila...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe alitoa msimamo huo leo Jijini Dar es Salaam akisema huko ni kwenda kinyume na sheria na utamaduni wa nchi yetu inayotambua ndoa ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana jf, naomba tuthubutu hapa jukwaani na kuacha unafiki kwa kuwataja watu wote ambao wana husika na biashara ya madawa ya kulevya hapa dar es salaam. Vijana wengi hasa maeneo ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la wetu , hasa vijana na watu wa makamo kuvaa mavazi ya gharama huku wakiwa wamevaa pete,cheni kubwa kubwa za dhahabu,silver, heleni kwa upande wawanaume, na kwa upande...
0 Reactions
1 Replies
18K Views
OCD wa Arusha, Zuberi Mwombeji anadaiwa kumiliki kimabavu nyumba moja mjini Katesh, wilaya ya Hanang Mkoani Manyara. Inadaiwa alipata nyumba hiyo wakati akiwa OC-CID wa hapo Katesh ambapo...
5 Reactions
27 Replies
6K Views
Vituo vya mafuta jijini mbeya vimegoma kuuza mafuta aina ya Petrol sababu ya kupinga hatua ya EWURA kupunguza bei ya mafuta kuanzia leo wakidai ni hasara kwao sababu wenyewe walinunua kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
WALE wenye bahati ya kupata elimu, wanao wajibu wa kulipa jasho ambalo wengine wamelitolea. Ni sawa na mtu aliyepewa chakula chote katika kijiji chenye njaa, ili apate nguvu za kwenda kuhemea...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani tanzania na mikataba mibovu inatufilisi kampuni iliyoingia ubia na uda ya simon group inadaiwa tsh 5bn na TIB na hakuna dalili ya uwezekano wa kulipwa kwani benki nyingi zinaidai kampuni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mambo yanayonikera nikiwa jijini D'Salaam ni mengi, lakini yaliyozidi ni haya: 1.Kivutio maarufu kwa wageni na wenyeji- Foleni 2.Mgawo wa umeme usiokuwa na taarfa. *Mengine sisemi................
1 Reactions
80 Replies
7K Views
Kwa kalenda ya Saudia na nchi nyingi kama sio zote duniani ambazo hazina msuguano na ujanjaujanja katika masuala ya Ibada, zitafunga funga ya arafa kesho Jumamosi tarehe 5 Novemba na kuswali idi...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
huko mkoani lindi kuku jike limegeuka kuwa jogoo licha ya hapo awali kubeba mimba mara mbili..sasa haya majabu duuh ndiyo maana yule shoga wa uk anataka tutambue haki zake pengine anajua iko siku...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
1.Sishindwi kumuita binadamu mwenzangu PANYA 2.Ntahakikisha binadamu wenzangu wanakula nyasi,lakini ndege ya rais itanunuliwa 3.Sitaogopa kufyatuka hadharani au Bungeni kuwashutumu wapinzani...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
MWANAMKE aliyetambulika kwa jina la Ndeku Agustino (22), mkazi wa Kigogo Luhanga juzi jana aliushangaza umma kwa kutupa kichanga chake chooni alichotoka kujifungua punde huko maeneno ya Kigogo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri Membe akiweka wazi msimamo wa Tanzania kuhusiana na ushoga Thursday, November 03, 2011 9:45 PM TANZANIA imesimamia msimamo wake wa kuitosa Uingeereza iliyoweka masharti kwa nchi zinazotaka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
An eye for an eye only ends up making the whole world blind. Mahatma Ghandi
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Idara ya Uhamiaji nchini ikiendeleza wimbi la kukabiliana na uhamiaji haramu leo imewakamata watuhumiwa wengine 25 na kuwafikisha mahakamani ambapo pamoja na kupigwa faini wanaandaliwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…