Usiyoyajua kuhusu OCD Zuberi Mwombeji

mpinga shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
3,236
954
OCD wa Arusha, Zuberi Mwombeji anadaiwa kumiliki kimabavu nyumba moja mjini Katesh, wilaya ya Hanang Mkoani Manyara.

Inadaiwa alipata nyumba hiyo wakati akiwa OC-CID wa hapo Katesh ambapo alimtishia mtu mmoja aliyekuwa na kesi na kumwambia angemfunga na ndipo kwa woga mtu huyo ambaye kweli alikuwa na kosa japo dogo akamwachia nyumba hiyo.

Hivi sasa Zuberi Mwombeji anawapangisha maaskari kwenye nyumba hiyo ya dhuluma na kupata kodi kila mwezi.

Maovu mengi yalifanywa na Mwombeji hapo Hanang huku serikali ikiyafumbia macho kwa sababu Zuberi ni kada wa CCM.

Hii si mara ya kwanza kwa Mwombeji kutukana watu. Wakati wa kampeni za 2010 wana-Chadema waliandamana hadi ofisi za PCCB or Takukuru kwenda kulalamika juu ya rushwa za wazi ambazo wafuasi wa mgombea wa CCM Batilda Buriani walizokuwa wakitoa.

Zuberi alifika pale PCCB Kaloleni na kuwatukana akisema toeni Ujinga wenu "Yaani hawa ni kama ma-mbwa tu!" alijiwa juu na baadhi ya waandishi wa habari waliokuwa pale na akaufyata.

Katika kikao kimoja na waandishi wa Habari, aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Arusha Isidori Shirima alielezwa juu ya tukio la Mwombeji kufuatwa na Batilda Buriani pale kituoni na yeye Zuberi kupanda kwenye VX ya mgombea huyo ambamo alikaa kwa zaidi ya nusu-saa, ilidaiwa alipewa fungu.

Tuhuma hizo juu ya ndoa ya Mwombeji na Buriani ziliwasilishwa kwa aliyekuwa RPC Basilio Matei ambaye aliahidi kuzifanyia kazi kama anavyoahidi Akili Mpwapwa sasa.

Siku ya mauaji ya raia tarehe 5 january katika kituo cha polisi Zuberi Mwombeji alisikika akijisifu kuwa angewatandika risasi wengi tu "Bahati yao!"

Alikimbia kutoka manispaa ili kuokoa maisha yake siku ya kutangazwa matokeo ya ubunge wa Arusha mjini mara tu alipopata taarifa kuwa yangetangazwa bila kuchakachua.

Baadaye nitawaeleza kuhusu biashara chafu inayofanyika na Zuberi pamoja na maofisa wake wawili pale kituoni Arusha
 
hivi nani alimpa kazi huyo jamaa'kuna uwezekano wa cv yake kuwekwa hadharani?
 
Ukiwa kada uhitaji CV wala Elimu au experience. Qualification ni barua yenye letter-head na mhuri wa Chama
 
Safi sana endelee kutupa undani wa hilo gamba la jeshi letu la Polisi.
 
Mwacheni aendelee kutamba. Siku ya kiama ccm haitakuwa na utetezi kwake.
 
user-online.png
mpinga shetani

Today 19:44
#1
Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 21st November 2010
Location : Tanzania
Posts : 29
Rep Power : 0
Mpinga Shetani kama JF kungekuwa na tuzo ya mtu aliyekaa muda mrefu bila kupost bila ya shaka ingekuja kwako yaani toka 2010 una post 29 tu!
Achana na hilo, bila ya shaka saizi ni wakati wa serikali kumhamisha OCD Zuberi Arusha kwani ni wazi hakubaliki tena na jamii ya watu wa Arusha. Endapo hili halitachukuliwa hatua ni imani yangu migogoro Arusha haitaisha.
 
tunatofautiana kuangalia mambo!yaani baada ya kumchukia huyu jamaa nimetokea kumkubali kwa sifa alizopewa na mwanzisha thread!
 
Wana JF nawaombeni sana,tena sana tufuatilie taarifa za huyu jamaa,nawe kamanda ulietuletea huu uzi naomba uendelee kufuatilia na wengine mlio na taarifa za huyu jamaa tungeomba mueendelee kutufamisha,na je kuna anaejua kadi yake ya ccm ni number ngapi?ikibidi ni kuanika uchafu wake wote hiyo ndo silaha nyingine itakayo tusaidia kumwadhibu kada huyu,wadau tupeni hata taarifa za nyumba ndogo zake,dhuluma zake na viongozi aliokaribu nao ndani ya polisi na CCM
 
Hii mbona imekuja baada ya Lema kujiweka ndani? ulikuwa wapi siku zote? siasa maji taka!
 
Siyo huyo tuu,Mwangalieni kwa makini hat ZEROTE STIVEN(RPC-DOM) kwake yeye kipigo kwa wananchi wasio na hatia ndo fahari ya Moyo wake. ila waache wamalizie enzi za ufedhuri na Umwinyi wao.Siku zao zinahesabika
 
Siku zaja, kila uovu utafichulika na wengi watalia na kusaga meno. Si muda mrefu ya Gaddafi na wenzake yatawapata watawala wetu kwani maisha yalivyobana uvumilivu utawaishia watu
 
Mia. 2pe mambo huyu bwana anajifanya kuwa yeye kamanda kumbe cheo chake kiko mikononi mwa wa2. Sasa amefika mwisho Arusha 2mechoka. Yuko kwenye kikaango huyu.
 
Back
Top Bottom