Mashoga wanayo haki ya kuwa mashoga! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashoga wanayo haki ya kuwa mashoga!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Userne, Nov 3, 2011.

 1. U

  Userne JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 895
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inanikera sana tunapo kuwa na wakati mwingi wa kujadili matukio zaidi, badala ya hatma yetu na vizazi vijavyo!

  Tumebakia mashoga mashoga sijui ushoga! hee! nyie vipi? wakati maadui wetu wakuu, ujinga, umaskini, maradhi, na ameongezeka adui ufisadi, wanapeta! Kwani hamumkosoi Mungu anayewapa riziki mashoga? Usimcheke kilema wakati uu kijana unazaa! ni wachache wenye ujasiri wa kuwatetea wanyonge kama waziri mkuu wa Uingereza.

  Ngojeni siku nanyi.....
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  aiseeeeeeee!
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kaka, swala la mashoga lazima litaongelewa sana. Mimi naamini kila mtu anaruhusiwa kuhishi anavyo pendezwa, na Mungu peke yake ndio Hakim.
  Ila kinachon nishangaza ni kuona Waziri mkuu wa uingereza anataka kuwalazimisha watu kukubali ushoga wakati watu hawataki. Sasa uhuru wakujichagulia unaenda wapi?

  Pia kumbuka kuwa tunahishi in jamii. Ulaya wamejifanya kuvunja societies zao na kuhishi kama individuals, kila mtu vyake. NI sawa, siwezi kuwahukumu na naheshimu namna yao ya kuhishi ila na wenyewe waheshim namna yetu. societies zetu hazijafunguka kwa ushoga na kabla nizilaumu jamii zetu najaribu kufikiria vitu vi2, vi3:

  - Nani kasema ushoga ni mzuri?
  - Ukiwa ni mzuri, ni mzuri kwa nani?
  - Ukiwa ni mbaya, ubaya wake nini?
  -Una affect vipi communities zetu za kiafrika?

  Kwa swali hili la mwisho tu, jaribu kufikiria how interdependent we are in africa. Kitu ukifanya wewe aibu ni kwa baba yako na mama yako.

  Wakikutenga unapata tabu kweli kusurvive. Emotional Survival yetu kama waafrica tunategemeana sana. Na kwangu mimi naona hii 'unity' kama nguvu na nawaonea huruma watu wenye kuhishi ulaya na america ambapo ukifanya kitu kinaku-affect wewe mwenyewe tu.
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  tayali BOFULO HILI!
   
 5. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Unataka kujihalalisha hapa koma nenda mombasa ukutane na wenzio muanzishe harakati zenu huko,bora kufa maskini kuliko kurithi laana. Hakuna laana kama hiyo hata Mungu ilimuudhi sana akauangamiza mji wa Sodoma na Gomora.
   
 6. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  All the best mkuu. Ila ushoga usilazimishwe uwe kama ndio uvumbuzi mpya wa karne ya ishirini na moja. Wanaoufanya waufanye kivyao vyao
   
 7. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kumbe na wewe mkuu boflo?????
  Kabofolewe huko huko UK
   
 8. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Watoto wetu tuwafiche wapi jamani??
  Eeh Mungu tuokoe na janga hili
   
 9. M

  Mkono JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 569
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naona kiama kimefika tumhombe mungu atunusu na zambi hiyo
   
 10. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wewe utakuwa walewale bila shaka.
   
 11. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Biblia inasema.

  Ole wa mfiraji na mfirwaji.

  Acheni Dhambi
   
 12. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  But In sodoma and gomora hakumtuma Luth akawaue mashoga, he just took care of it himself. kwa hiyo tuwaache tu hadi watakapo kunana na muumba wao.

  Sawa sawa. Haya mambo yalikutwa toka enzi za kina Plato na kuna sababu za msingi zilizo fanya societies kukataa kuhalalisha ushoga. Hizo sababu sio tena muhimu kule kwao ila huku kwetu hizo sababu bado zina msingi (in culture and religion) na the way tunaheshimu sheria zao kuhusu mashoga, tunataka na wenyewe waheshimu zetu. we will change them when they are no longer relevant TO US.
   
 13. U

  Userne JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 895
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ushoga ni kipaumbele? au! Upo, ulikuwepo, Utaendelea kuwepo! Heri Mungu aniue Leo kuliko kuendelea kuona hii dhulma kuu inayopeta nchi hii! utafikiri nchi wamepewa urithi na baba zao! Nini ushoga takataka na disinfomatiion tu!
   
 14. U

  Userne JF-Expert Member

  #14
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 895
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umesha laaniwa weye hujui!

  M/Mungu amekupa dalili hizi jipime mwenyewe upo kundi gani! Kondoo wako atachinjwa machoni mwako wewe hutii neno, utaoa wewe wenzio watachukua mkeo, utajenga wenzio wataishi, Mungu atakutia woga ukiona unyasi wewe utafikiri nyoka mbio, maji na kuni zako mwenyewe utanunua kwa pesa,.... Huyaoni? Wajinga na waoga wote motoni! Hii ni kauli ya M/Mungu! wewe endelea na kiburi cha uzima......
   
 15. U

  Userne JF-Expert Member

  #15
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 895
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimekusamehe bure hujui usemalo! naweza nikawa Baba yako rudia tena kauli yako!
   
 16. U

  Userne JF-Expert Member

  #16
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 895
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu, ninaheshimu sana mawazo yako! Mimi ninaamini watu ndio wanaweka historia na si historia inaweka watu! bado mashoga si kipaumbele kwa wakati huu! Ila wao wanatusukuma tujadili matukio bila ya sisi kufahamu!
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ninatambua uwepo wao lakini tusilazimishane kuwatetea au kuwapa promo in the arms of donors
   
 18. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #18
  Nov 3, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  According o the bible, ulevi na ushoga upi ni dhambi kubwa kuliko?
   
 19. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #19
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hii kali, yaani Mungu anaweza kumfanya mtu kuwa shoga!?
   
 20. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #20
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  bora kuibiwa mke lkn sio kukubali ushoga.
  afu hueleweki Mungu gani huyo unemzungumzia? labda wako lkn sio Mungu tunaemwabudu alietuumba
  ushoga haukubaliki hata kidogooooo naurudia hakuna dhambi kubwa kama hiyo.

   
Loading...