Kwa nini Mbeya tu?

nginda

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
744
82
1. Madhehebu mwngi tanzania yako mbeya (tena kuna madhehebu ya kifamilia, ukoo nk)
2. kuchuna ngozi kumeanzia mbeya
3 kupiga nondo kadhalika mbeya
4. Wanakwaya kibao - bony, bukuku, mwaipasila, ande.... nk
5.Wanawake kupiga wanaume Mbeya
6. kuiba maiti nako mbeya

Kungineko vip???
 
  1. Mji ambao unaongoza kwa ujenzi hadi korokoloni anajenga nyumba nzuri kabisa Mbeya.
  2. Mji moja wapo ambao unaongoza kwa wanawake kujituma ki-Biashara, hata ana mtoto wa week kadhaa kabeba mtoto mgongoni na ndizi zake kwichwani akipitisha kwa mia mia...
  3. Mji moja wapo unaongoza kwa abundant food products thru out the year..
  4. Mji pekee watu wake walithubutu kuonesha "chuki" ya wazi walo nayo dhidi ya JK kwa kupiga mawe msafara wake.. Pale wangekosea kidogo JK would have been history for sio wavivu....
 
Commercial hub of southern highlands! as well as northern Zambia and northern Malawi
 
mkoa ambao unajitosheleza kwa chakula na unakuwa kwa kasi bila kutegemea nguvu ya serikali kama dodoma
Ni mkoa ambao hautasikia watu wamekufa kwa njaaa hata kama tanzania nzima tutakuwa na njaa kali!
 
Nilisahau ma-yo yo maarufu kwa kuchana!!! Mr. sugu, AY, profesor
 
Ashadii, hiyo number 4 inamaanisha upinzani waongeze nguvu kule

It is too late for CCM Mbeya... walishaipoteza siku nyingi... Kuna jimbo moja jamaa (CDM) alisimama dhidi ya msomi (CCM) Wananchi hawaangalii wagombea wamejinadi vipi - wao wanaangalia tu jina la chama. Results zilipotoka wa CDM alishinda... alipopelekewa taarifa ilikua kwa simu na bahati nzuri wakati huo nilikua huko Mkoani hivo nilishuhudia.... Akauliza "nimeambiwa nimeshinda Udiwani" natakiwa nifanyeje?? Imagine.....

Mbaya zaidi amekua Sugu (Mbunge wa Mbeya) na sera zake za Kishamba sababu ana hasira na Viongozi wa CCM na Clouds Radio.... Aliposhika huo wadhifa Clouds ilipiga "STOP" Haipo tena huko... Sasa najiuliza... Wananchi wao wapo so confident kua maisha yao yatabadilika baada ya uongozi mpya (nakubali labda katika sector za muhimu huko juu ambazo inabidi zifanyiwe kazi kanza) BUT do they think kwamba one kiongozi is different from the other sababu tu ya Chama anawakilisha?? IMO labda katika wagombea wa Viti vya Uraisi na baadhi ya wabunge but ukweli unabaki they are sons and daughters of the same womb but different Mothers....

Mkuu mwenye topic sorry to go OFF, Was a bit carried away...
 
Mbeya,
Hata wanamichezo mahiri baadhi asili yao Mbeya;
Jimmy Mored, Nsa Job, Shadrack Nsajigwa, late Mbamba Uswege, Richard Kasesela, Isack Mwakatika, Mwakalebelas, Luiza John,
 
It is too late for CCM Mbeya... walishaipoteza siku nyingi... Kuna jimbo moja jamaa (CDM) alisimama dhidi ya msomi (CCM) Wananchi hawaangalii wagombea wamejinadi vipi - wao wanaangalia tu jina la chama. Results zilipotoka wa CDM alishinda... alipopelekewa taarifa ilikua kwa simu na bahati nzuri wakati huo nilikua huko Mkoani hivo nilishuhudia.... Akauliza "nimeambiwa nimeshinda Udiwani" natakiwa nifanyeje?? Imagine.....

Haa ha ha...you made my day...
 
  1. Mji ambao unaongoza kwa ujenzi hadi korokoloni anajenga nyumba nzuri kabisa Mbeya.
  2. Mji moja wapo ambao unaongoza kwa wanawake kujituma ki-Biashara, hata ana mtoto wa week kadhaa kabeba mtoto mgongoni na ndizi zake kwichwani akipitisha kwa mia mia...
  3. Mji moja wapo unaongoza kwa abundant food products thru out the year..
  4. Mji pekee watu wake walithubutu kuonesha "chuki" ya wazi walo nayo dhidi ya JK kwa kupiga mawe msafara wake.. Pale wangekosea kidogo JK would have been history for sio wavivu....
Ahsante AshaDii, ndiyo maana nakupendaga
 
Back
Top Bottom