Kinachonikera nikiwa jijini Dar

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,047
10,696
Mambo yanayonikera nikiwa jijini D'Salaam ni mengi, lakini yaliyozidi ni haya:
1.Kivutio maarufu kwa wageni na wenyeji- Foleni
2.Mgawo wa umeme usiokuwa na taarfa.

*Mengine sisemi................
 
Kwa kuongezea hapo, ukiwa kwenye foleni pembeni yako kuna gari kubwa lina kontena linaloyumba yumba, mbele yako kuna gari la taka, nyuma yako kuna gari la maji machafu kifuniko chake hakifungi vizuri maji machafu yanamwagika kidogo kidogo.
 
Dah mkuu kama kuan kontena pembeni lazima kushikwa na tumbo lakuharisha.
 
Dawa ni kubakia huko kwenu sijui wanaita itabanya balasi. AMINI USIAMINI. Ukishaizoea DAR, hutapenda kuishi mji wowote TZ zaidi ya hapa.
HATA HIVYO KARIBU SANA MKUU.
 
Ila jamani kuna mitaa imetulia nyie. Mingine haina taabu. Ipo uzunguni.
 
Kwa kuongezea hapo, ukiwa kwenye foleni pembeni yako kuna gari kubwa lina kontena linaloyumba yumba, mbele yako kuna gari la taka, nyuma yako kuna gari la maji machafu kifuniko chake hakifungi vizuri maji machafu yanamwagika kidogo kidogo.

na mbele yako kidogo gari la mafuta watu wanafungua kifuniko kwenye foleni waibe mafuta....loh inabidi utembee na vidonge vya presha
 
Mambo yanayonikera nikiwa jijini D'Salaam ni mengi, lakini yaliyozidi ni haya:
1.Kivutio maarufu kwa wageni na wenyeji- Foleni
2.Mgawo wa umeme usiokuwa na taarfa.

*Mengine sisemi................

Kilichokutoa kwenu kidugalo ni nini?
 
Mambo yanayonikera nikiwa jijini D'Salaam ni mengi, lakini yaliyozidi ni haya:
1.Kivutio maarufu kwa wageni na wenyeji- Foleni
2.Mgawo wa umeme usiokuwa na taarfa.

*Mengine sisemi................
Hakuna UROJO, SUPU YA PWEZA ,NGISI,HALUA YA MKEBE, CHAZA SHELI SHELI,SHOKISHOKI kwenda beach ujipange wakati huku zenji hata viatu hatuvai unachukua taulo yako huyooo unapiga makachu tuu AARGH!
 
We mpwani ikweli.
 
Back
Top Bottom