frozen
Senior Member
- Aug 12, 2010
- 135
- 32
Kumekuwa na wimbi kubwa la wetu , hasa vijana na watu wa makamo kuvaa mavazi ya gharama huku wakiwa wamevaa pete,cheni kubwa kubwa za dhahabu,silver, heleni kwa upande wawanaume, na kwa upande wanawake hali haitofatiani sana na wanaume, lakini huku wao wanavaa cheni za miguuni na miwani mikubwaa..je hali hii inaonesha kwamba watu wengi katika miji yetu ni watanashati au la,