Kwa malezi niliyopewa na familia yangu............ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa malezi niliyopewa na familia yangu............

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Nov 3, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  1.Sishindwi kumuita binadamu mwenzangu PANYA
  2.Ntahakikisha binadamu wenzangu wanakula nyasi,lakini ndege ya rais itanunuliwa
  3.Sitaogopa kufyatuka hadharani au Bungeni kuwashutumu wapinzani kuwa ni wanafki
  4.Kupuuzia masuala nyeti kwangu si issue,ndo maana huwa nasema'SINA UWEZO WA KUFANYA MVUA INYESHE'
  5.Naamini kuwa UKITAKA KULA NI LAZIMA ULIWE KIDOGO
  6.Ntaendelea kujilimbikizia mali kwanza na kujinufaisha na posho

  je na wewe kwa mujibu wa malez ya familia yako unafanyaje?
  ZUBEIR WA ARUSHA kasema hawez kumuita mtu PANYA
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Umeandaliwaje na familia yako?
   
 3. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,633
  Likes Received: 905
  Trophy Points: 280
  Kwa malezi niliyopewa na Familia yangu... Sishindwi kusema wanafunzi kupata mimba ni kiherehere chao.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Sijui umasikini wa familia yangu unasababishwa na nini!
   
 5. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Sishindwi kwenda gerezani kwa hiari yangu.
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  uuu,aiseee
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hahahahah,mwita unawachokoza wana'a-town
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  umeshndwa kumuuliza hata sheikh go0gle?
   
 9. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,278
  Likes Received: 665
  Trophy Points: 280
  ..... Sishindwi kusomesha watu watatu kwa Billion 2.2 kwa mwaka.
   
 10. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,538
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  leo una shati la kijani kofia njano!kasuruali keusi! Ushabadilika tena
   
 11. L

  Leliro Member

  #11
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sishindwi kuchanganya mishahara ya polisi ili nipate cha juu
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hahahahah,puppy jamaa wa tcra ndo wametoa kali,ILA NDO MALEZ YA FAMILIA
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  nimemwambia mwita,unawaamsha watu hapa,
  msoffe,tueleze jins ulivyolelewa na familia kama srid inavosema
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  pia sishindwi kuwapga risas watanzania wenzangu wanaoandamana,tena za uso
   
 15. U

  Userne JF-Expert Member

  #15
  Nov 4, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 895
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanangu wamefikwa na njaa, nimepewa msaada buku, badalala ya kununua unga robo nitanunua Miwani ya jua!
   
 16. Wabogojo

  Wabogojo JF-Expert Member

  #16
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 355
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Naamini, kujivunia na kuwahakikishia wtz ya kuwa nchi ina wenyewe na wenyewe ni CCM , tutatawala milele.
   
 17. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #17
  Nov 4, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,026
  Likes Received: 2,673
  Trophy Points: 280
  Mambo ya posho hayo.
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  unamchokoza nape makarolite
   
 19. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #19
  Nov 4, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,567
  Likes Received: 1,074
  Trophy Points: 280
  1. Sikusaidii mpka ukubali kuwa shoga (No msaada mpaka wananchi wako walawitiwe au walawiti)
  2. No msaada kama hakuna mwakilishi wa mashoga bungeni
  3. sikusaidii mpaka ukubali kusagwa
  4. Sikusaidii mpaka mkeo awe ana.... nje ya ndoa
   
 20. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #20
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hahahahah!dah!s0on 2tapata a gay or lezbian prezdar!
   
Loading...