Maajabu: Kuku jike lageuka kuwa jogoo

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
huko mkoani lindi kuku jike limegeuka kuwa jogoo licha ya hapo awali kubeba mimba mara mbili..sasa haya majabu duuh ndiyo maana yule shoga wa uk anataka tutambue haki zake pengine anajua iko siku kiongozi wa ngazi za juu kabisa hapa bongo atageuka kuwa jike..
 
Ni lindi au pwani kenya?
 
Mbona BBC wamesema ni Pwani Kenya?
 
huko mkoani lindi kuku jike limegeuka kuwa jogoo licha ya hapo awali kubeba mimba mara mbili..sasa haya majabu duuh ndiyo maana yule shoga wa uk anataka tutambue haki zake pengine anajua iko siku kiongozi wa ngazi za juu kabisa hapa bongo atageuka kuwa jike..
Crashwise leo imekuwaje tena! Sasa mkuu, umekaa kwenye nyumba ya chuma au vioo? Kwa kusema kiongozi mkubwa kabisa wa nchi hii anaweza kugeuka shoga kwa imani ya shoga huyo wa UK, duuuuuuuh hapo simo.
 
Kubali usikukubali! Kuku mwenye awamu 3 akiwa anatotoa vifaranga yake,lakini awamu hii ya nne akawatelekeza vifaranga wake na kuanza kuwa Jogoo na kuanza kuwika. Ni kuku wa mfugaji mkongwe wa mifugo Bw. Peter Bayya wa Kenya Wilaya Kilindi mtaa wa Timboli akiwa na umri wa 6yr ktk kazi yake ya ufugaji. Na hili limethibitishwa na Dr wa mifugo Bw.Cris Wanga. Source: BBCswahili.com
 
Mungu apishe mbali isije ikatokea kwa binadamu dume zima halafu baada ya muda linageuka kua jike!
 
Mpaka mwaka 2020,viongozi wote wa afrika wanatakiwa wawe wanautamua U freemarson,na ushoga!
Tofauti na hapo ni bakora tu.
 
oNyie hamuwajui Kenya, wale jamaa huwa wanapenda kutoa taarifa za kizushi ili kuhanikiza macho ya duniya yaelekee Kenya ili ku-boost utalii wao.
 
Back
Top Bottom