nani alaumiwe kwa kuwa na vijana wengi mateja hapa dar

frozen

Senior Member
Aug 12, 2010
135
32
Ndugu zangu wana jf, naomba tuthubutu hapa jukwaani na kuacha unafiki kwa kuwataja watu wote ambao wana husika na biashara ya madawa ya kulevya hapa dar es salaam. Vijana wengi hasa maeneo ya kinondoni, mwananyamala ni mateja/watumiaji wakuu wa madawa ya kulevya. Vijana hawa na ndo hadhina ya maendeleo ya taifa letu. Kuna watu wengi ambao kwa namna moja au nyingine wanausika na biashara hii na kwaharibu vijana wetu. Naomba tuthubutu hapa jf, kuwataja majina yao labda kwa kupitia hapa wanaweza badilika.
 
Mkuu kama tu wale ambao ni Wakubwa ambao wamefanya makosa makubwa yalo wazi kwa kila Mtanzania tumekua wanafiki kwa vitendo dhidi yao na majasiri kwa maneno.... Is there hope hapo kweli??
 
...unawaona mtaani mkuu, jaribu kuwahoji wanakotoa. Muda si mrefu utapata wahusika wakuu na wadogo pia.

Raisi wetu anawafahamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom