Mwanamke atumbukiza kichanga chake chooni

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
MWANAMKE aliyetambulika kwa jina la Ndeku Agustino (22), mkazi wa Kigogo Luhanga juzi jana aliushangaza umma kwa kutupa kichanga chake chooni alichotoka kujifungua punde huko maeneno ya Kigogo
Ndeku akiwa na mwanamke mwenzie ambae hajafahamika kama ni rafiki ama ndugu aliongozana nae na waliomba huduma ya choio kwa mmmoja wa wakazi wa maeneno hayo na walipatikwa huduma hiyo bilka mwenyeji wao kutambua alikuwa na lengo gani

Imedaiwa na mwenye choo hicho kuwa mwanamke huyo akiwa amejifunika kanga na alionekana kama alibeba kitu alichofunika na aliingia chooni humo kumbe alikuwa ameshakiviringisha kwenye mfuko wa rambo na alipoiingia humo alikitupa kichanga hicho kwen ye tundu la choo hicho na kutoka na kuondoka na mwenzie

Mara tu alipoondoka mama wa mwenye choo hicho alimuamuru mwanae akaangalie chooni kwani alikuwa ana wasiwasi na wale waombaji choo, basi pundu mwanamke huyo kwa kuamrishwa na mama yake alikwenda chooni na alichungulia tunduni aliona mfuko wa Rambo unaelea na kuita watu na kugundua kuwa alikuwa kichanga

Ndipo walianza kuwafatilia wanawake hao kwani walipotoka hapo walikodi usafiriri wa pikipiki kwa bahati dereva huyo alionekana na baadhi ya majirnai wakati akiwapakia hivyo aliamriwa na awapeleke alipowashusha wanawake hao ndipo walipopatikana

Hivyo mwanamke huyo anashikiliwa na na Jeshi la Polisi mkoa wa Kinondoni kwa kitendo hicho cha kutupa kichanga kilichokuwa na jinsia ya kiume

chanzo: Mwanamke atumbukiza kichanga chake chooni
 
Back
Top Bottom