Tib considers seizing assets of uda buyer!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Jamani tanzania na mikataba mibovu inatufilisi kampuni iliyoingia ubia na uda ya simon group inadaiwa tsh 5bn na TIB na hakuna dalili ya uwezekano wa kulipwa kwani benki nyingi zinaidai kampuni ya simon!yale yale ya scandnavia bus au rites,yatatokea na uda yetu kuanza moja ktk kutafuta mwekezaji mwingine
 
Back
Top Bottom