Ewuraaaaaaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ewuraaaaaaaa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mtaratibuuuuuu, Nov 8, 2011.

 1. mtaratibuuuuuu

  mtaratibuuuuuu Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi Ewura kazi yenu ku2chezesha akili 2 na kubadili bei za mafuta kila kukicha?,hamuoni kuwa hii inaathiri sana wananchi wenye kipato cha chini,mafuta ya taa 1900 kwel mtanzania mwenye kipato cha sh.3000 kwa siku ataweza kwel?.Na serikal inashangilia 2 loool,inabidi kutafuta njia yakuzuia kupandishwa bei za mafuta kila uchao.
   
 2. M

  Mbalamwezi JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 30, 2007
  Messages: 803
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Hayo mafuta yasipande kwani yanatengenezwa Ubungo? Na kwa akili yako unaona yanapanda Tanzania tu?Tafakari.
   
 3. P

  POLITE MAN Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwahili la kupandisha bei ya mafuta ya taa nadhani serikali ilikulupuka, nasema ilikulupuka kwa sababu sababu walizotuambia wanapandisha bei ya mafuta ya taa ni kutokana na uchakachuaji,
  kama sababu ni uchakachuaji ni kweli serikali yetu imeshindwa kuwadhibiti wafanya biashara wa chache sana ambao tunaamini wapo dar na mikoa ya pwani, matokeo yake wanaamua kuwaadhibu watanzania wengi ambao hawana atia, ikowapi dhana ya msemo usemao serikali inamkono mrefu, je uo mkono mrefu wa serikali umeshindwa kuwabaini hawa wafanya biasha wachache??
  Apa tunaomba serikali yetu wafikilie upya na waturejeshee bei ya zmani ya mafuta ya taa
   
 4. M

  Mbalamwezi JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 30, 2007
  Messages: 803
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Angalia wafanyabiashara wa mafuta walivyojaa kwenye kamati ya bunge ya Nishati na Madini ndo utapata jibu.
   
Loading...