Kulikoni VIBAKA Wamepotea mitaani?

Kishongo

JF-Expert Member
May 4, 2010
932
64
Ndugu wana-Arusha wenzangu,

Usiku wa jana mitaa mingi ya jiji letu ilikuwa shwaari bila bughudha za vibaka. Watu walioanika nguo nje wamezikuta asubuhi.
Kulikoni? Au ni kwa sababu ya ujio wa Mtoto wa Malkia?
 
Back
Top Bottom