Misaada-ushoga relationship | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Misaada-ushoga relationship

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Relief, Nov 8, 2011.

 1. Relief

  Relief JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [h=6]Tulipokuwa sekondari tulikuwa tuna debate motion moja very common inasema "Money is a source of all evils. Agree or Disagree" tunargue weee kinadharia tuu lakini ilikuwa ni somo. Siku za hivi karibuni ndio nimekuja kuamini kabisa japo natamani ingekuwa tofauti na hivyo lakini kwa hali ilivyo sasa nakubali kuwa kuna motion nyingine inapaswa kwenda sambamba na hiyo, nayo ni "Poverty is the source of all evil adoptation. Agree or Disagree." (Hebu chukua MISAADA-USHOGA relationship kama case study Africa).
  Afu fikiria mwenyewe!
  Tunakoelekea ni heri au tulikotoka?
  Je hapa tulipo? Viongozi wetu wanatuhakikishia nini juu ya usalama wetu waafrika especially kiutamaduni? Na wakishindwa sisi kama wahanga wakubwa tufanye nini?
  Wadau naomba tutafakari. Taifa lipo mashakani.
  [/h]
   
Loading...