T shirt ya CCM nusura imtoe roho mgambo

Wababa

Senior Member
Jul 21, 2011
158
14
Jamaa mmoja mkazi wa jiji hili la mwanza anaesadikika na mgambo wa jiji nusura juzi wamtoe roho wakazi wa mtaa wa makoroboi baada ya mgambo huyo kuanza kukusanya bidhaa za wamachinga zilizokua pembezoni mwa barabara, chinga alikusanyiwa bidhaa zake walipoanza kukunjana na hapo hapo ndipo ilipogundulika tshirt aliyoivalia ndani ilikua ni ya chama cha mapinduzi, wamachinga wote waliungana na kutoa kichapo heavy kwa askari huyo ambae hana maslahi, huku wenzake watano wakimuacha kwenye mataa baada ya kuona moto wa petrol umewaka, pona pona yake ni vijana wawili wadogo wa jwtz walitokea upande wa pili na kumwombea radhi kwa watu hao waliokua wamejaa sumu...! Kutoka mwanza
 
Walimuonea tuu, huyo jamaa ni masikini kama masikini wengine wowote wanaovalishwa Tshirt na CCM wakati wa kampeni, mimi nadhani kupokea hizo Tshirt siyo kosa labda kosa kama alikiuka taratibu zozote katika kukusanya hivyo vitu. Mbona hata mimi October niligawiwa Tshirt na CCM lakini nilipokumbuka sina kitu cha kufutia gari langu niliichukua tuu na huwa natembea nayo inanisaidia sana kufutia vumbi, je siku nikisababisha ajari mtaani nitaadhibiwa kwasababu kwenye gari kuna Tshirt ya CCM???
 
Hahahaaa, mwanza bana, sasa mgambo kakosa t-shet mpaka avae magamba, safi sana
 
Tatizo lilowatia wamachinga hasira ni mgambo huyo kukusanya vifaa vyao kwa nguvu, na ndiyo walipoanza kukunjana ikagundulika afande ana gamba ndani ya jezi yake, ndiyn wamachinga mzuka ukawapanda kabisa.
 
Walimuonea tuu, huyo jamaa ni masikini kama masikini wengine wowote wanaovalishwa Tshirt na CCM wakati wa kampeni, mimi nadhani kupokea hizo Tshirt siyo kosa labda kosa kama alikiuka taratibu zozote katika kukusanya hivyo vitu. Mbona hata mimi October niligawiwa Tshirt na CCM lakini nilipokumbuka sina kitu cha kufutia gari langu niliichukua tuu na huwa natembea nayo inanisaidia sana kufutia vumbi, je siku nikisababisha ajari mtaani nitaadhibiwa kwasababu kwenye gari kuna Tshirt ya CCM???

hata kama ni maskini lazima asome alama za nyakati bhana, ccm imewafanya watu kuwa na maisha magumu kila kona ya tz, tena unapofanya kosa huku umevaa tsht au kofia, ndiyo kwanza unawajaza sumu watu,
 
kuna mada imeanzishwa kule kuwa CCM siku hizi imekuwa tusi, labda jamaa walidhani huyo mgambo kawatukana kwa kuwavalia T-shirt ya tusi
 
Safi saaaaaaaaaaaaana. Piga tu hao mafisadi. Hata mimi nikikutana na **** limevaa tshirt ya ccm usiku kwenye anga zangu lazima nimkwide tu na tshirt nachanachana. Komesha ujinga huo.
 
kuna mada imeanzishwa kule kuwa CCM siku hizi imekuwa tusi, labda jamaa walidhani huyo mgambo kawatukana kwa kuwavalia T-shirt ya tusi

Siku hizi hata watoto wa shule wanazikimbia hawazitaki kabisa. Yalikuwa yanavaliwa na akina mama hata hao siku hizi wanaziogopa kama ukoma wanasema sijuo zinaambukiza ugonjwa wa kuzomewa na kuanguka kama bosi wao.
 
teh teh teh! siku nyingie hatorudia tena nahisi kuanzia alipopata hicho kichapo akiona t-shirt ya magamba anaweweseka na kutoka mbio!!!
pole sana kwa kipigo ila ukumbuke vya dezo vinauwa.... t-shirt ulipewa bure imakugarimu ndugu yangu
 
duh, sasa hayo magonjwa naskia dawa yake ndio mkong'oto toka kwa wananchi na vidonge vinavyoitwa CDM unatakiwa upate kimoja kutwa mara tano kwa miaka mitatu
Siku hizi hata watoto wa shule wanazikimbia hawazitaki kabisa. Yalikuwa yanavaliwa na akina mama hata hao siku hizi wanaziogopa kama ukoma wanasema sijuo zinaambukiza ugonjwa wa kuzomewa na kuanguka kama bosi wao.
 
elimu inapaswa itolewe msvazi ya ya kuvaa mtumishi wa umma hasa unapokuwa ktk shughuri za kiserikali
 
Si uongo,ni kweli kichapo kilitembea,akasaidiwa.Nikiona neno sisiem kwa Mwanza,nahisi kichefuchefu,kutapika.Na nitakwenda kaburini bila kuipa sisiem kura yangu.Siiipendi,siitaki,siifeel,siitamani.....Uuuuuuwi! Uuuuuuuwi!
Uuuuuuuuuuuuuuwi
 
Back
Top Bottom