EWURA acha majibu ya kisiasa

Calist

Senior Member
Dec 17, 2010
130
7
EWURA mmetuhakikishia kuwa mnayo mafuta ya kutosha kumbe ni siasa tu, leo mji wa IrInga hakuna petrol kabisa tunataka majibu ya uhakika ni nini kimetokea hadi visima vyote havina Petrol wakati mmesema mafuta yapo ya kutosha.
 
Sasa EWURA wanafaida gani kwetu kama wapo kuwatumikia hao mafisadi ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom