Uvuvi Haramu wa Jodari washika kasi kwenye Bahari ya Libya

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Tangu kuondolewa au kuangushwa kwa utawala wa Gadaf,shughul za uvuvi haram zimeonekana kushka kasi,ila inasemekana kuwa boti zinazofanya shughuli hizo zinatoka nchi za jumuiya ya Umoja wa nchi za ULAYA,na samak wanaovuliwa ni aina ya JODARI!
SOSI:REDIO ONE
 
ghadaffi + uvuvi haramu.......
hii ni kwenye bahari ya wapi mkuu....?
 
ghadaffi + uvuvi haramu.......
hii ni kwenye bahari ya wapi mkuu....?

Mediterranean sea, Gaddafi alikuwa mkali kwenye rasilimali zote za Libya kuanzia kwenye maji mpaka ardhini!! So, miaka mingi hapakuwa na uharibifu mkubwa kwenye eneo hilo la Libya but now pamekuwa free aiseee!!!! Another shamba la bibi ukiachilia TZ!!!!
 
asante mkuu kwa kunidadavulia.......hii habari ilinipita kidogo.......
 
Ndicho walichokuwa wanakitaka wana Libya wacha yawakute sasa, Nani aliwadanganya wateme Big G kwa karanga za kuonjeshwa!
 
Back
Top Bottom