Leo asubuhi katika Jambo Tanzania TBC, Anne Kilango Malechela amesema kati vifungu ambavyo havitabadilika katika muswada wa katiba ni kile cha Rais kuunda tume ya Katiba na kuhalalisha hilo...
Mkazi wa Magomeni amehukumiwa kwenda jela miez mitatu kwa kosa la kuuza kuku waliokufa'VIBUDU'.Hukumu hiyo imetolewa mahakama ya Sokoine Drive
Tuwe makini sana na vyakula tunavyokula
na...
Jana mi nimejikakamua kwa huu uchumi mgumu nikaweka kisalio cha sh 2000 ili niwasiliane na jamaa zangu. Kama kawaida yetu tuliowengi baada ya maongez kuangalia salio nikakuta 1500 na ushee...
Date::10/28/2008
Waziri Mkuu Pinda akerwa na watu wanaoikosoa serikali
Na Ally Sonda, Bomang'ombe
Mwananchi
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, ameonekana kukerwa na kelele zinazopigwa na baadhi...
Taarifa zinazidi kutiririka juu ya Ufisadi
Imagine.kampuni ya Pan African energy ilijirudishia zaidi ya dola milioni 40 bila eti serikali kujua.kampuni hii imesajiliwa mauritius na visiwa vya...
nimekaa nafikiria kusoma course hii wengine wasema kuwa IT ndio yalipa wengi wasema hiyo hiyo najua riziki anatoa mungu kikubwa nifahamu tu kwa undani sasa na baadaye
Ni kweli kwamba kila mtu ana hisia na pia anajua hisia zitatuliaje,wapendwa kuna jambo hili linalonipa shida kipekee hasa ninapojaribu kulinganisha na maisha ya nchi hii,swala la ngono limekuwa ni...
Nimeanza kuamini maneno yenu.
Kikwete anaongea na wazee wa CCM Dar-es-salaam badala ya ku-address issue nzito za kitaifa anaanza kuzungumzia sarafu ya Euro mara bei ya Sukari which means vurugu...
Baada Ya Hotuba kwa Wazee wa CCM Mwenyekiti wa Wazee Brigedia Mbita alimwita Kingunge Kuja kuwashukuru Hotuba ya Jk Lakini ghafla Mwenyekiti huyo akasikika akisema Kingunge amekataa na...
Wakuu naomba mnijuza kama mtakuwa na jibu kwamba mwanzoni zilipotoka hela mpya kulikuwa na tetesi ziliibiwa kontana moja uwanja wa ndege, je zinawezakuwa ndizozilizosababisha inflation yote hii?
Mwenzenu nna tatizo kuhusu maajabu saba ya dunia naombeni msaada....Hivi leo hii maajabu yanahtaji kupigiwa kura? Ni propaganda tu au?Kuna wanaotaka hata ox bow lakes zao ziitwe maajabu kwakua...
PCCB DG says Africa losing up to USD 40bn to the vice
Experts say country`s tax regime weak, billions flowing out
Police, judiciary, lands and Tanzania Revenue Authority (TRA) have been cited as...
Iran inasema kuwa imeanza mazoezi ya kijeshi ya siku nne, ili kupima uwezo wake wa kulinda mitambo yake ya nuklia na sehemu nyengine muhimu, endapo ikishambuliwa.
Shirika la habari la taifa...
A criminal case is launched against citizens of Guinea and Tanzania for embezzlement of large sums of money and legalization of criminally obtained profits. Citizen of Guinea A.K. reached a...
Wana Jf,ubadhilifu wa mali ya uma sasa inaipeleka nchi pabaya.
Kamati ilioundwa kuchunguza fedha alizochangisha Jairo katika wizara ya nishati na madini sasa imeonesha wazi namna fedha hizo...
Mtoto wa Muammar Gaddaf aitwaye Saif al Islam amewekwa chini ya ulinzi na askari waliomkata wa kusini mwa Libya akiwa na watu wawili waliokua wanamtorosha kumpeleka nchi jirani ya Niger.
Chanzo...
Nimetazama upepo unavyokwenda kuhusu Mswada wa Marekebisho ya Katiba (Katiba Mpya: Masikhara haya), nimeona na kusikia maneno ya JK jana pale PTA, nimesikiliza mahojiano ya Deus Kibamba Channel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.