Anne Kilango asoma biblia kuhalalisha rais kuunda tume ya katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anne Kilango asoma biblia kuhalalisha rais kuunda tume ya katiba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Izack Mwanahapa, Nov 16, 2011.

 1. Izack Mwanahapa

  Izack Mwanahapa JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 497
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Leo asubuhi katika Jambo Tanzania TBC, Anne Kilango Malechela amesema kati vifungu ambavyo havitabadilika katika muswada wa katiba ni kile cha Rais kuunda tume ya Katiba na kuhalalisha hilo amesoma Bibilia mstari unaosema kwamba tiini mamlaka iliyopo akisisitiza kuwa ni lazima mkuu wa nchi kuteua baraza la katiba.
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  huyo mama anasumbuliwa na menopose
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mama Kilango kagundua kambi zilizopo sasa anaangalia wapi aegemee, nina wasiwasi sana na hii katiba tunayoitegemea from teh current contingency
   
 4. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Ana kilago cha malecela amepoteza mvuto wa kisiasa ndani ya chama chake na kwa wananchi
   
 5. S

  STIDE JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mbona hakusoma bible kupinga ufisadi!!??
  Bible haitumiwi kinafiki!!
  HATUDANGANYIKI!!
   
 6. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mfa maji haachi kutapatapa,
   
 7. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Kusoma Biblia si hoja maana hata shetani anaijua vilivyo, tena shetani anamwabubdu MUNGU kwa kutetemeka hususani Kilango? mmmh heshima anaipoteza hivhiv
   
 8. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Tusipoteze muda mwingi kumjadili huyu mama!
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kilango ameambukizwa Ugonjwa wa Malecela, apelekwe India
   
 10. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi huyu mama ana ajenda gani na mkulu?au ameahidiwa uwaziri?manake simuelewi kabisa.
   
 11. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #11
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tatizo tumekuwa na wabunge wasiokuwa na uwezo wa kufikiri. Wanaishia kutoa mipasho na maneno ambayo ni kawaida kuyasikia kutoka kwa

  wanawake waswahili wasiokuwa na kazi wala waume. Unapomchagua mtu halafu anaongea upuuzi bungeni inakera sana. Badala ya kujadili hoja ya

  msingi watu wanaunga mkono hoja chap chap then wanaanza kuponda Chadema. Hatuwezi kupata katiba mpya kwa kupashana bungeni au

  kuiponda chadema na wanaharakati. Wabunge wetu wasipowaza sahihi watakuwa wanatengeza maafa kwa nchi hii.
   
 12. mawazoyangu

  mawazoyangu JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 327
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Huyu mama ni POPO. sikutegemea angeongea upuuzi kama ule aliousema bungeni. na siku zote biblia haisomwi mstari mmoja
   
 13. u

  utantambua JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kasomea theolojia wapi na lini? Hana mamlaka ya kutafsiri maandiko matakatifu kwa umma. Kama anataka kuwa mama mchungaji akaanzie katika ngazi ya familia ama akasome theolojia. Kwa nini wanasiasa wanalewa power hadi kufikia hatua ya kuchezea maandiko matakatifu ili kufanikisha dhamira zao chafu?
   
 14. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #14
  Nov 16, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,125
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  ana pepo ndo make walim.....
   
 15. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #15
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,983
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  huyo mama ana matatizo.
   
 16. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #16
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,128
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Huyo mama mbona hamnazo.
   
 17. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #17
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,782
  Likes Received: 36,777
  Trophy Points: 280
  Anna Kilango alikua anajiita mpinga mafisadi ila sasa juu ya mswada huu amegeuka na kuwa wakili wa mafisadi, hakika Anna kilango kwa sasa anatokwa povu kuhakikisha mianya ya ufisadi inaachwa wazi ktk mswada huu ili ufisadi,dhuluma,unyanyasaji uzidi kutafuna taifa letu.
  Laiti kama Mama Anna Kilango angeacha kujifungia ndani na kukaa na commoners angegundua kuwa dhamira huru na ya ukweli haitishwi na maji wa kuwasha,virungu wala risasi za moto.
  Kaa macho mama Jumanne.
   
 18. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #18
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  msukule wa bibi yake anaotembeaga nao ndio unamdanganya.
   
 19. ram

  ram JF-Expert Member

  #19
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,201
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Teteteeee, Nazjaz umeniongezea siku za kuishi, nimecheka mie

   
 20. ram

  ram JF-Expert Member

  #20
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,201
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Hata ukimuuliza huo mstari unapatikana kitabu gani katika biblia hawezi kukuambia, amekariri tu tiini mamlaka, huyo sio bure kuna kitu anakitafuta

   
Loading...