Mtoto wa Gaddaf awekwa chini ya ulinzi.

CHIPANJE

JF-Expert Member
May 1, 2011
321
53
Mtoto wa Muammar Gaddaf aitwaye Saif al Islam amewekwa chini ya ulinzi na askari waliomkata wa kusini mwa Libya akiwa na watu wawili waliokua wanamtorosha kumpeleka nchi jirani ya Niger.

Chanzo:
Reuters.
 
meno mengi mdomoni kushinda samaki. afadhali yake kakamatwa maana angekutana na waliomkamata baba yake bila shaka angegeuzwa chamaki nchanga.
 
Hakuna la maana linaloendelea Libya wao na utajiri wao wa mafuta wako hoi sana sasa hivi wanashangilia hata chura akipita kwa woga wa kupigwa risasi, Leo hii sisi ni bora na wastarabu kuliko wao mungu ibariki Tanzania:spy:
 
Washtueni kina riz waache kutanua na kodi zetu lasivyo mda ukifika yatawakuta
 
Back
Top Bottom