Swala la ngono mashuleni!

KISHUMUI

Member
Nov 11, 2011
6
0
Ni kweli kwamba kila mtu ana hisia na pia anajua hisia zitatuliaje,wapendwa kuna jambo hili linalonipa shida kipekee hasa ninapojaribu kulinganisha na maisha ya nchi hii,swala la ngono limekuwa ni kawaida mashuleni ama wanfunz wenyewe kwa wenyewe au jamii nyingine na wanafunzi .sas najiuliza ivi inamaana zamani hakukuwa na hisia au wazee wetu walifanyaje?l
 
Umeingia Jamii Photo, ama weka picha ama uhame ukurasa. Nisikuache hivi hivi, hisia zilikuwepo tatizo enzi hizi watoto wengi wanaathiriwa na Screen Life
 
umepotea njia mkuu, Karibu JF naona unakereka sana wanafunzi wakifanya NGONO, ngono si tatizo kwa sababu binadamu yeyote akipevuka anakuwa na hisia za kimwili zinazomtuma kufanya ngono; tatizo ni nyie VIJEBA mnaolaghai mabinti zetu kwa vijisenti.
 
Back
Top Bottom