Iran yafanya mazoezi ya jeshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iran yafanya mazoezi ya jeshi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Nov 19, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Iran inasema kuwa imeanza mazoezi ya kijeshi ya siku nne, ili kupima uwezo wake wa kulinda mitambo yake ya nuklia na sehemu nyengine muhimu, endapo ikishambuliwa.

  Shirika la habari la taifa linasema mazoezi hayo yanafanywa mashariki mwa nchi; na yanafanywa wakati mvutano umezidi baina ya Iran na mataifa makuu, kuhusu mpango wake wa nuklia, unaozusha utatanishi.

  Shirika la Umoja wa Mataifa linalosimamia mitambo ya nuklia, lilipitisha uamuzi Ijumaa kusema linazidi kuwa na wasiwasi kuhusu mradi wa Iran - .huku tetesi zinaongezeka kwamba Israil, huenda ikachukua hatua ya kijeshi, kuizuwia Iran kuunda silaha za nuklia.
   
 2. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,837
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 180
  hawa jamaa napenda watwangane alafu nione nini kitakachotokea..
   
 3. k

  king11 JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Iran bado ni taifa chanaga kwa kwa wazayuni(Israel)
   
 4. Kadamfu

  Kadamfu Senior Member

  #4
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  iran piga hao madikteta
   
 5. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  iran ni taifa changa ljn anauwezo fulani wa kivita.

  kwa mwono wangu atakama iran anatengeneza nyuklia ni kwa sababu ya ulinzi wake.ukiangalia maadui wakubwa wake wana nyuklia alafu yeye asitengeneze.marekani ndio maneno mengi kweli,utasikia haki haki.yeye ni taifa pekee iliyotumia nyuklia dhidi ya japan.


  yaani katumia nyuklia kwa waengine ni tatizo????? mbona israel anayo,india,pakistan.
   
 6. m

  mjaumbute Member

  #6
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haya wanachama wa Freemason siwapendi kabisa waache uchokozi
   
Loading...