Kontena la hela | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kontena la hela

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shine, Nov 20, 2011.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wakuu naomba mnijuza kama mtakuwa na jibu kwamba mwanzoni zilipotoka hela mpya kulikuwa na tetesi ziliibiwa kontana moja uwanja wa ndege, je zinawezakuwa ndizozilizosababisha inflation yote hii?
   
 2. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  kwani hukumsikiliza mkwerè kwenye ile hotuba yake ya juzi anasema tatizo la inflation halipo Tanzania tu, akatolea mfano kwa Tanzania, Kenya na Uganda halafu baadae akasema hata euro imeyumba. Sasa ngoja nikuulize je na huko kote makontena yaliibiwa!?
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Kwani inflation ipo bongo, hata Marekani yenyewe wanalia shida.
   
 4. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,046
  Likes Received: 7,499
  Trophy Points: 280
  Unalinganishaje shida zao na zako?
  Kwa aina maendeleo ya kisayansi waliyofikia katika nyanja mbalimbali na viwango vya huduma za kijamii watoazo kwa raia wao au hata kwa nchi zetu hatujisikii aibu kufarijika eti nao wanalia shida kama sisi.
   
 5. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Acheni ujinga na uvivu wa kufikiri na kutokuwakuwa wabunifu kwa kusingizia eti sisi sio peke yetu wenye matatizo ya kiuchumi hata marekani pia wana matatizo kama hayo!!

  Marekani hawana subsistance economy nyinyi bado wananchi wanalima kwa jembe la mkono kwahiyo kujilinganisha athari za mfumuko wa bei kwa wananchi wetu na kule marekani ni ujinga usio kipimo. Federal Reserve Bank ya Marekani inaweza kutumia monetary instruments kuthibiti mfumuko wa bei kwavile kule hawana parallel economy inayozungusha pesa kama sisi hapa ; M-Pesa ambao watu wengi hutumia hauthibitiwi na BOT kwahiyo sera zao za fedha haziwezi kuwa effective!!

  Uchumi wetu pia unaathirika na ufisadi uliokithiri wa viongozi wetu kwahiyo wasitake kutuhadaa na kusingizia external forces kuwa ndio sababu pekee za matatizo yetu! Kuna sababu nyingi zinazoleta mateso ya kiuchumi kwa wananchi ambazo ziko ndani ya uwezo wa nchi yetu kuzirekebisha tukiacha mambo ya kihanithi.
   
 6. KANUTI SILAYO

  KANUTI SILAYO Member

  #6
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Serikali ime devalue the curency kimya kimya,ndo maana wame print hela mpya na stil za zamani zipo kwenye circulation,kwa walio gusa uchumi katika elimu yao wanaelewa mchezo unaochezwa
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  mkuu mi narudi kwenye TOPIC lete khabari zaidi kuhusu hili contena lililoibiwa.....
   
 8. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #8
  Nov 20, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,723
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  unaleta story za vijiwe vya kahawa halafu unang'ang'ania upewe uhakika kama ni kweli? Acha ujinga.
   
Loading...