Duh! Kikwete kweli Mwisho!

mpinga shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
3,236
954
Nimeanza kuamini maneno yenu.

Kikwete anaongea na wazee wa CCM Dar-es-salaam badala ya ku-address issue nzito za kitaifa anaanza kuzungumzia sarafu ya Euro mara bei ya Sukari which means vurugu, maandamano, mabomu na hali ya nchi kukosa control kabisa is 'None of his business!'
 
Na kibaya zaidi wazee wenyewe wa kiswahili hawa...wazee wa ghahawa,wazee ambao kwao elimu dunia mwiko,wao kila kitu wanapiga makofi tu

WAZEE WA DARESSALAAAAMU
 
Na kibaya zaidi wazee wenyewe wa kiswahili hawa...wazee wa ghahawa,wazee ambao kwao elimu dunia mwiko,wao kila kitu wanapiga makofi tu

WAZEE WA DARESSALAAAAMU
hivi wazee wa dar es salaam ni waislm tu??? kwani ndo wamejaa na wakwanza kupiga makofi wakati hata katiba hawajui ni nini, mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne hajui katiba sembuse wazee wa elimu dunia????? nina mashaka ili isemekane watu walijaa
 
Watu wengine mna moyo. Mbona mimi siko interested.
Napita kwanza see you later.

si ndio hata mimi nashangaa, huu moyo wa watu kumsikiliza unatoka wapi? tatizo lipo kwa wananchi, yaani huyu hakustahiri kuwa na mtu anaemuunga mkono mpaka mida hii, jamani hivi ina maana watanzania ndio wavumilivu sana wa matatizo au matatizo hayajafika pabaya zaidi au ni wajinga...maana nashindwa kuelewa, serikali mbovu namna hii lakini bado tu mnaishobokea.......anyway wanasema kuna demokrasia, endeleeni kwa kweli wenye huo moyo mimi siwezi, naona nitapasuka kwa hasira nikimuona kwenye screen.
 
Nimeanza kuamini maneno yenu.

Kikwete anaongea na wazee wa CCM Dar-es-salaam badala ya ku-address issue nzito za kitaifa anaanza kuzungumzia sarafu ya Euro mara bei ya Sukari which means vurugu, maandamano, mabomu na hali ya nchi kukosa control kabisa is 'None of his business!'

Mkuu hebu tupunguze lawama, si kweli kwamba mambo aliyoyazungumza si mazito
katika taifa letu labda ulaumu namna alivyoyawasilisha. Si busara kulaumu kila kitu!
 
si ndio hata mimi nashangaa, huu moyo wa watu kumsikiliza unatoka wapi? tatizo lipo kwa wananchi, yaani huyu hakustahiri kuwa na mtu anaemuunga mkono mpaka mida hii, jamani hivi ina maana watanzania ndio wavumilivu sana wa matatizo au matatizo hayajafika pabaya zaidi au ni wajinga...maana nashindwa kuelewa, serikali mbovu namna hii lakini bado tu mnaishobokea.......anyway wanasema kuna demokrasia, endeleeni kwa kweli wenye huo moyo mimi siwezi, naona nitapasuka kwa hasira nikimuona kwenye screen.
Serikali ya CCM haijawahi kuwa nzuri toka wakati wa NYERERE, RUKSA, MKAPA hadi KIKWETE. Hakuna
aliyestahili kusikilizwa toka wakati huo.
 
ukitaka kujua tabia ya mtu mwangalie rafike ni yupi
kwa hivo ukitaka kujua tabia ya jk muono wake na haiba yake bila shaka mwazijua tabia za wazee wa dsm
wavivu,wanywa kahawa, mawazo finyu, wao bora kukuche,
kweli nimeshangazwa na JK kuka kimya kuhusu mwenendo wa hali ya amani nchini.
 
ukitaka kujua tabia ya mtu mwangalie rafike ni yupi
kwa hivo ukitaka kujua tabia ya jk muono wake na haiba yake bila shaka kwazijua tabia za wazee wa darasalamu
wavivu,wanwa kahawa, mawazo finyu, wao bora kukuche,
kweli nimeshangazwa na JK kuka kimya kuhusu mwenendo wa hali ya amani nchini.

Mkuu, samahani lakini kauli yako hii juu ya wazee ni kukosa adabu we ulitegemea
nini kwa wazee kama wale ambao umri wao umesinzia? kwanini na wao wasisinzie?
Si vizuri kuwakosea adabu wazee kiasi hicho, hebu tuwaheshimu wazee wetu!
 
hv nyie mmesikiliza kweli hutuba kama hujasikiliza haina haja ya kuchangia tuache ushabiki jamaa speech yake imejitosheleza kaongelea vyote muhimu
 
Back
Top Bottom