Ahukumiwa kwenda jela kwa kuuza kuku'VIBUDU'

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Mkazi wa Magomeni amehukumiwa kwenda jela miez mitatu kwa kosa la kuuza kuku waliokufa'VIBUDU'.Hukumu hiyo imetolewa mahakama ya Sokoine Drive
Tuwe makini sana na vyakula tunavyokula
na vinywaji tunavyokunywa.
Soc:habar leo
 
vipande vya kuku na mishikaki ya streets yote ni vibudu wa mdondo na ndigana
 
Hilo nalo ni kosa la kupelekwa jela? Kwanini asingepewa adhabu ya kuitumikia jamii kwa kifungo cha nje? Sheria zetu za kizamani sana. Kwa hiyo anaenda kuhudumiwa na dola kwa kuuza vibudu tu.
 
Mimi huwa nawashangaa wale wanaokula mishikaki street, hasa pale wanaponunua vichwa, utumbo na vipande vya mishkaki na kuvichovya kwenye ile pilipili........daaaaaaaaaah! huwa sielewi kabisaha hasa kwa wanaume unaona kabisa hapa mchizi anajipunguzia nguvu za kiume live kabisaaaa
 
Hata raic alisema binadam Hatupo Sawa
Mimi huwa nawashangaa wale wanaokula mishikaki street, hasa pale wanaponunua vichwa, utumbo na vipande vya mishkaki na kuvichovya kwenye ile pilipili........daaaaaaaaaah! huwa sielewi kabisaha hasa kwa wanaume unaona kabisa hapa mchizi anajipunguzia nguvu za kiume live kabisaaaa
 
Ndo aina ya watu utakaowakuta jela hao
ila wauza bidhaa fake'wanaish
Hilo nalo ni kosa la kupelekwa jela? Kwanini asingepewa adhabu ya kuitumikia jamii kwa kifungo cha nje? Sheria zetu za kizamani sana. Kwa hiyo anaenda kuhudumiwa na dola kwa kuuza vibudu tu.
 
kama hakuna aliyedhurika, wangemwacha aendelee kupiga bingo.
hapo kuna mawili mkuu
1.anaweza kuwaathiri afya walaji kwa kula nyama gonjwa na wao wakaambukizwa
2. inaweza kuwa adhabu ndogondogo kama kufanya kazi za jamii ikawa mbadala wa makosa madogomadogo badala ya kumpeleka mtu kule akafundishwe ukameron
 
Adhabu hiyo iwe fundisho kwa wengine ..... mtu utauzaje vibudu, akirudi atajirekebisha
 
Hilo nalo ni kosa la kupelekwa jela? Kwanini asingepewa adhabu ya kuitumikia jamii kwa kifungo cha nje? Sheria zetu za kizamani sana. Kwa hiyo anaenda kuhudumiwa na dola kwa kuuza vibudu tu.
wewe jambo la vibudu unaona dogo eeenh?! Hicho kibudu kimekufa na ugonjwa gani!? Pia ni kinyume na maadili ya 'wanaoamini' na hiyo ni adhabu ndogo sana.
 
Nawaza tu... Kama angehukumiwa na mahakama ya KADHI..
Mahakama ya KADHI haishughulikii kesi za aina hiyo, hivyo huna haja ya kufikira ! Ni kwa ajili ya social dispute not criminal related issues ! Umeona eenh ! Kawaambie na wenzio !
 
Mh! Mambo ya kula mishkaki huko mitaani usishangae siku ukila hata kibudu cha mbwa au paka!
 
Back
Top Bottom