Kwa sakata la jairo tu,Ngeleja na Uttoh wote kwa pamoja hawafai tena. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa sakata la jairo tu,Ngeleja na Uttoh wote kwa pamoja hawafai tena.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CHIPANJE, Nov 20, 2011.

 1. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wana Jf,ubadhilifu wa mali ya uma sasa inaipeleka nchi pabaya.

  Kamati ilioundwa kuchunguza fedha alizochangisha Jairo katika wizara ya nishati na madini sasa imeonesha wazi namna fedha hizo zilivyokusanywa kinyume na taratibu za sheria na kutumika vibaya.

  Nachelea kusema kwamba mkaguzi mkuu wa serikal Ludovic Uttoh hafai tena kwani hii imethibitisha wazi kua si mzalendo na nchi yake hadi anafikia kutoa taarifa zisizo sahihi na hutana iman nae tena hata kwa chunguzi za siku za nyuma.

  Ngeleja hatuwezi kumuelewa kama hatachukua nafasi kujiuzulu kwani nae amekosa mvuto kwa watanzania kutokana na kutokua muajibikaji mzuri katika wizara anayoisimamia,anafahamu yote haya naye ana mgao TPDC.

  Luhanjo nae achukuliwe hatua kwani ni sumu kwa serikali.

  Hivi kiongozi gani wa ngazi ya juu katika serikali ya JK ni mwadilifu?

  Habari zaidi
  Soma:Mwananchi.
   
 2. p

  prindi Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hali inatisha jamani wj kwa hali hii wamachinga wafanyaje na mabomu je?
   
Loading...