nipo hapa manyara mjini ni metokea tarangire nilitakiwa niingie manyara national park mchana huu then nika overnight karatu niendelee na safari nimekwama hapa nje ya manyara national park daraja...
Wana JF,
Yanayoendelea kujuzwa humu jamvini kuhusu mustakabari wa nchi yetu Kisiasa na Kiuchumi, yanachosha na kutia kinyaa. Nina hoja moja tu. Hivi hakuna vijana huko jeshini wachukue hii nchi...
Posho za wabunge zapanda kimyakimya
Send to a friend
Monday, 28 November 2011 08:24
0diggsdigg
Kikao cha Bunge kikiendelea mjini Dodoma
ZAPANDA KUTOKA SH70,000 HADI 200,000, NI ZAIDI...
Habari wana jf
Nimekuwepo Dar es Salaam na na-experience mgao wa umeme wa mara kwa mara. Hii imekuwa mitaani (residential places) lakini na mjini pia (katikati ya mji na Kariakoo) kuna ukatikaji...
Juzi mchani nikiwa natoka kibaha kwenda mjini Dar nilikwama njiani eneo la kibamba CCM kwa muda wa saa 3. Jana jioni nikiwa natoka kibaha kwenda kiluvya madukani imenichukua saa 2 (mita 800) kwa...
Polisi jamii imezua jambo.Katika Daraja la Ubungo,Stendi ya kuelekea Mwenge,nyakati za usiku kuna matapeli.Hayo nimeyaona jana majira ya saa mbili usiku nilipokuwa nasubiri daladala kuelekea...
Wakati wa mfumo wa chama kimoja waakati wa chama kushika hatamu, ccm ilitumia pesa za uma kujengea majengo mbalimbali pamoja na viwanja vya michezo na kujifungulia miladi.
Niwakati ambao mwenge...
Kuna mabadiko yametokea Dar ambayo hata baadhi ya wakazi wake hawayafahamu. Yalianza kama miezi mwili ilopita. Kuna barabara maarufu kutoka Feri kwenda Aga khan hospitali kupitia pembezoni mwa...
sitaki kuamini mtu unakaa 5 hours kusubiri service..hawa akina dada hapa customer care hawana wanalolifanya wanajizungusha tu na kuongea na simu. yaaaani i wish hili shirika libinafsishwe....hovyo...
Mazungumzo ya mahasimu wawili kisiasa nchi, jana yalisitishwa ili JK na wapambe wake wakayatafakari mapendekezo ya CDM kabla ya kuyatolea maamuzi.
Naona kama marafiki hawa wanacheka pamoja...
Inaonekana kwa watanzania hakuna namna yoyote, ama mtindo mbadala wa kucheza muziki, ama kunengua ngoma za asili bila ya kukata MAUNO. Naweza kusema kuwa tumefeli kwa kukosa ubunifu wa kupata...
Nape amejikuta akitumiwa bila ya yeye kujielewa kwamba anatumiwa.Alikuwa amefumba macho na kuziba masikio kiasi cha kutosikia kauli ya mwenyekiti wake kuwa 'akili ya kufundishwa iongezewe na ile...
DAR ES SALAAM residents look at a vehicle with registration number STK 5925, belonging to the Rukwa Regional CCM Secretary, heading to Dar es Salaam from Dodoma, which was involved in a head on...
ni kampuni ya usafirishaji wa abiria mikoani, imeshakamilisha ofisizake pale ubungo sheli, mahali zilipokuwa afisi za allys bus. kwa mujibu wa tangazo lao wanakwenda karibu destination zote nchini...
Sijui ni kwangu tu au ni kote...yani chanel 10 sauti iko chini sana yani ukitaka kusikia inabidi uweke sauti mpaka mwisho ndo unaskia sauti ya kawaida...sasa kivumbi usahau ubadilishe chanel...
Jina lako linafanana na zile tabia zilizo sababisha sodoma na gomora zichomwe kwa ndimi za moto kutoka mbinguni.
Umekuwa mstari wa mbele kwenye kutete haki za mashoga,
ulipokuwa una laani kitendo...
Inatokea mara kwa mara mtu unapata usumbufu hasa airport ya Mwanza kwa makosa ya airliner. Leo nimepata uzoefu ambao kwa kweli umeniudhi sana na nafikiri kunahaja ya kuchukua hatua wakati...
Marafiki zangu na ndugu zangu wa JF, nawakosa sana vituko,ucheshi,ushauri na utani wa hapa na pale ambao tumekuwa tukiushi kusogeza siku mbele.
Licha ya kuwa na majukumu makubwa ya ajira na...