Ubunge unalipa bana......!!

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Posho za wabunge zapanda kimyakimya Send to a friend
Monday, 28 November 2011 08:24
0diggsdigg

bungeletu.jpg
Kikao cha Bunge kikiendelea mjini Dodoma

ZAPANDA KUTOKA SH70,000 HADI 200,000, NI ZAIDI YA ASILIMIA 150
Fredy Azzah
HUKU mjadala wa kufutwa au kwa posho za wabunge na watumishi wengine wa Serikali ukiwa umefifia, posho za vikao (sitting allowance) za wabunge zimepanda kutoka Sh70,000 kwa siku hadi Sh200,000, imefahamika. “Zimeongezeka kutoka Sh70,000 mpaka 200,000, wameanza kulipwa Bunge lililopita hili ni ongezeko la karibu mara tatu, yaani asilimia 154,” kilieleza chanzo chetu kutoka ndani ya Ofisi za Bunge.:photo:


 
Back
Top Bottom