CCM ilipotufanya watanzania wapumbavu

kluvert

Member
Jul 26, 2011
72
19
Wakati wa mfumo wa chama kimoja waakati wa chama kushika hatamu, ccm ilitumia pesa za uma kujengea majengo mbalimbali pamoja na viwanja vya michezo na kujifungulia miladi.

Niwakati ambao mwenge wa uhuru ulikuwa mali ya chama, nakumbuka vijana wa ccm ndiyo walikuwa wakimbizaji wakuu lakini kwa kutumia pesa zetu.

Wakati tunaelekea kwenye mfumo wa vyama vingi wakaona mwenge utakuwa mzigo kwao walichofanya nikuamishia serikalini iliuendelee kutumia pesa zetu lakini viwanja na majengo waliojenga kwa pesa zetu wamefanya maliyao.

Watanzania tuzinduke tuwaludishie mwenge wao tudai mali zetu .
 
Mkuu umenena vema hadi leo huwa nashangaa kuona kwamba hiyo imekuwa mali yao wakati tulijenga kwa pesa za wananchi wote bila kujali ni mwanachama wa ccm au la,leo vimekuwa vyao.hawa jamaa bwana wana matatizo sana.
 
Back
Top Bottom