Chanel ten imekaaje hii?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chanel ten imekaaje hii??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mysteryman, Nov 27, 2011.

 1. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sijui ni kwangu tu au ni kote...yani chanel 10 sauti iko chini sana yani ukitaka kusikia inabidi uweke sauti mpaka mwisho ndo unaskia sauti ya kawaida...sasa kivumbi usahau ubadilishe chanel nyingine bila kupunguza sauti unaweza kimbia......kama kuna wanaohusika hapa tafadhali tatueni hilo tatizo bana
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ungewasiliana nao - wanayo tekniko dipatimenti
   
 3. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Hiyo tv yako ina matatizo, kwangu mimi hakuna shida kama hiyo
   
 4. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Siwasiliani nao wala nini kwanza washa nitibua ktk taarifa ya habari wameonyesha habari ya str8 music na huyo mbana pua wao afu ya kina sugu hawajaonyesha...pambaf sana
   
 5. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  wanafiki sana tu its true sauti ilikuwa problem wamebore zaidi wameonyesha str8 music Mh.Sugu wakabotezea chaneli kumi bana
   
 6. MAYOO

  MAYOO JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kweli hata kwangu nimeona sauti iko chini sana.
   
 7. S

  Sting007 JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  channel ten, nyanda za juu kusini hatuwapati kupitia satelitte.
   
 8. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Cjaangalia hizo chanel nyingine wameonyesha? Niliona mlimani tv wameonyesha tena kwa kirefu tu hadi raha
   
 9. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #9
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,542
  Likes Received: 12,823
  Trophy Points: 280
  pia colour ya movies
  za kinaijeria si nzuri
  jion hii yangu haikutoa saut kabisaaaa
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Nov 27, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Starehe gharama.
   
 11. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #11
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,542
  Likes Received: 12,823
  Trophy Points: 280
  heee ?????????
  !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!@
   
 12. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #12
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kwangu mie imepotea tangu jana na ikirudi ina mikwaruzo kibao!
   
Loading...