Bwabwa naomba jibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bwabwa naomba jibu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Jan 25, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,302
  Likes Received: 22,103
  Trophy Points: 280
  Jina lako linafanana na zile tabia zilizo sababisha sodoma na gomora zichomwe kwa ndimi za moto kutoka mbinguni.
  Umekuwa mstari wa mbele kwenye kutete haki za mashoga,
  ulipokuwa una laani kitendo cha nchi za weusi kufungwa na waarabu ulisema ndio maaana umeamua ujichubue ili kuikimbia laana ya rangi ya ngozi nyeusi.
  Swali langu ni hili: Je wewe ni shoga?
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  huyo ni masalio ya sodoma na gomora no comment
   
 3. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hilo nalo nenooooooooooo
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mmmh dunia imefika kikomo
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mbona atuambii kama yy ni shoga tumpeleke kwenye chama cha mamemde
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  majibu ni haya...................

  Posted By BWABWA
  Re: Hodi! Hodi!

  preta mpaka sasa hivi hujalala? pole sana, mimi shoga wa kinyume na maumbile, usihofu lakini...hii inatokana na maumbile ya kuzidiwa hormons nyingi za kike mwailini

   
 7. Drifter

  Drifter JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2010
  Joined: Jan 4, 2010
  Messages: 1,968
  Likes Received: 669
  Trophy Points: 280
  Nafikiri keshajibu na kujifafanua vizuri zaidi kwenye thread yake ya utambulisho. Ila sijui ukiwa shoga basi kujichubua ni sehemu ya dili. Au ndio wale ambao wangetaka wawe jinsia tofauti.
   
 8. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mh jf imeingliwa
   
 9. P

  PELE JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 229
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hizi thread za siku hizi hazionyeshi kama JF ni "home of great thinkers." Standard ya hali ya juu iliyokuwepo siku za nyuma inazidi kushuka siku hadi siku.
   
 10. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Asante Bujii, ulonena ni ya kweli, wengi humu jamvini wamekua wakinishangaa, sasa kwa nini nifiche hali niliyokuwa nayo? hiyo ndio hali halisi, hayo ni maumbile.Hamjui kama mficha uchi hazai. Haya mambo bado ni mageni kwa nchi zetu, lakini polepole sasa yanaanza kuenea, mwisho mtazoea tu.Kama kuna mtu yuko serious na mimi, niko teyari hata kutoa namba yangu ya simu tuwasiliane. Swali la nyongeza?...
   
 11. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 818
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Bwabwa , ukweli ni kwamba mambo unayo fanya sio mageni katoka nchi hii na utakuta hawa hawa wanaao kuuliza na kukutukana ndio kisiri wadau wakubwa wa mambo hayo.

  Hayo mambo ni yapo sana tuu, siku zote tunasiakia Anti Juma, Anty Musa ,Anti Chiddy , kwani ni nini hao si mshoga, ila katoka utamaduni wetu , Shoga ni yule anaye liwa tuu, ila ukweli ni kwamba wanao kula na wanao liwa wote ni mashoga na utakuta mamende wengi wapo kwnye jamii yetu ila hawajichukulii kuwa nao ni mashoga na ndio wa kwanza kukemea .
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kuna jamaa yangu Mombasa anaulizia kama unatoa tiGo! nitumie namba yako kwenye PM nikuunganishe
   
 13. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145

  tafuta mume akuoe acha usodoma
   
 14. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Jamani kama mmeamua kuua JF.. Mseme.. Sisi wageni tukimbilie wapi?
   
 15. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  jamaa yupo free acha kusingizia ndg mombasa
   
 16. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #16
  Jan 26, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,579
  Likes Received: 3,881
  Trophy Points: 280
  Mods;

  sikuwahi kuiona hii thread na I do believe na nyie hamkuiona .

  Mmeona haya maneno ya Bwabwa na still thread iko free!

  Swala langu ni kuwa sitambagua, kumchukia wala kumponda huyu mtu anayeitwa Bwabwa. According to my view, sidhani kama anataka msaada hapa wankutatua tatizo lake isipokuwa anatangza uchafu. Pili kwa kumsaidia nadhani angeenda kwa wanasaikolojia, lakini kwa imani yangu mimi I am 100% sure than Jesus can heal him perfectly and permanently.

  Nina hakika Bwabwa angetafuta washauri bila hata kujitanga humu.

  Hii thread kuachiwa kutaleta double standards na ndio dunia inakoelekea

  1. Kuna watu watasema hormone zimewazidi hivyo hormone zao zinawaruhusu kulala na wanyama!

  2. wengine watasema hormones zao zinawaruhusu kulala na watoto wadogo

  3. Wataamka wengine na kusema hormones zao zinawaruhusu kuchuna ngozi na kunywa damu, wasipofanya hivyo watakufa

  4. watatokea wengine na kusema, wanapenda mapenzi ya kubaka, hormones zao zinawaruhusu kubaka mwanamke yeyote yule

  This issue is a ticking bomb that has domino effect in destroying moral standards of human. I do know that we have disabled people, some can not see, others can not walk. Lakini sijaona hata sikumoja wakiwalazimisha watu wawe kama wao, au wakijitangaza kuwa wao vilema.

  Kama kweli unajiona huko hivyo, na sababu siyo malezi au kutaka mwenyewe, na unafikiri umezaliwa hivyo, jihesabu kuwa kilema. Usimtukane Mungu wala kuwachafua wengine kwa sbabau wewe ni kilema wa hormones!

  Please, believe me Jesus can make you free, HE can recreate you, you will enjoy your manhood with muscline behaviour, you will never ever think about this issues. This can happen only if you believe and allow him to work in your life, test him he is free!!!!
   
 17. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #17
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Bwabwa... the Great stinker!!!
   
 18. KIWAVI

  KIWAVI JF-Expert Member

  #18
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 1,747
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  Maneno mazito haya... lakini kumbuka hajasema anahitaji msaada yeye anafurahia jinsi alivyo

  Mods, hebu futeni hizi threads za namna hii za ut@mu ilishakufa
   
 19. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #19
  Jan 26, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Mh! Haya makubwa.. Mods tunaomba mtupe msimamo wa JF khs watu wa aina hii. Binafsi nashauri wafungiwe manake kwa mujibu wa utamaduni wetu, hii tabia hairuhusiwi kwenye jamii.
   
 20. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #20
  Jan 26, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  Kwa nn hairuhusiwi? una data/fact?
   
Loading...